Wabunge wamsifu Dk Magufuli, vitanda 300 vyatua Muhimbili
Wabunge wamepongeza kitendo cha kuwasilishwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) vitanda 300, magodoro 300, viti vya magurudumu 30, blanketi 400 na mashuka 1,695 vilivyogharimu Sh251 milioni. Â Â Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QXA0bb1mCXI/Vk9eudExBGI/AAAAAAAIHKs/zvTOU4S5h3M/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-11-20%2Bat%2B8.55.15%2BPM.png)
Rais Magufuli aagiza fedha za hafla ya wabunge zipelekwe Muhimbili kununulia vitanda vya wagonjwa
![](http://3.bp.blogspot.com/-QXA0bb1mCXI/Vk9eudExBGI/AAAAAAAIHKs/zvTOU4S5h3M/s640/Screen%2BShot%2B2015-11-20%2Bat%2B8.55.15%2BPM.png)
Mheshimiwa Magufuli ametoa agizo hilo baada ya kupokea taarifa kuwa wadau mbalimbali wamechanga...
9 years ago
Habarileo22 Nov
Fedha za hafla zanunua vitanda 300 Muhimbili
FEDHA za hafla ya wabunge ambazo Rais John Magufuli aliagiza zipelekwe katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zimewezesha kununua vitanda 300 vya wagonjwa.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-oEIndExlq88/VlC_kkNH5WI/AAAAAAAIHsU/lxGL64ZdoPA/s72-c/mm.png)
Agizo la Rais Magufuli kuhusu kununuliwa vitanda hospitali ya Muhimbili latekelezwa
![](http://2.bp.blogspot.com/-oEIndExlq88/VlC_kkNH5WI/AAAAAAAIHsU/lxGL64ZdoPA/s640/mm.png)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Agizo alilolitoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli la kutaka fedha zilizochangwa na wadau mbalimbali kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge zipelekwe Katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kununulia vitanda na magodoro ya wagonjwa wanaolala chini limetekelezwa.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema fedha hizo zimefanikisha kupatikana vitanda 300 vya wagonjwa pamoja na magodoro yake, shuka 600, Baiskeli za...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-5Z6YiWWZfmY/VWLh_jbkU3I/AAAAAAAHZkQ/y8lTpsuC-5E/s72-c/unnamed%2B%252867%2529.jpg)
UK Islamic NGO support Muhimbili Cardiac equipment worth 300,000USD
The Muntada Aid which is an Islamic NGO based in UK has supported medical equipment to Muhimbili National Hospital (MNH) worth over 300,000 USD to save lives of children with congenital heart diseases. Speaking to the press in Dar es Salaam, the Acting Executive Director of MNH Dr. Hussein Kidanto said the equipment donated includes stents and other surgical devices.
He said with stent children with congenital heart diseases have undergone high tech procedures of...
11 years ago
Habarileo20 Feb
Wabunge wakataa posho Sh 300,000
WAKATI mjadala wa kihistoria wa kuunda Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ukiwa katika hatua ya kupata kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, baadhi ya wajumbe wameamua kuelekeza nguvu kudai posho nono.
9 years ago
Mwananchi22 Nov
Milioni 200 za Rais Magufuli zinaweza kununua vitanda 500
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-b698qiANzXk/XmIhrudiThI/AAAAAAALhco/VmfVpFVKmuEUyCFO1sN6uxxqXn2CwTPFACLcBGAsYHQ/s72-c/PHOTO-2020-03-05-23-53-22.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-sLanmpzqqI8/Xms-W3dk7GI/AAAAAAAC00c/6mWq-8EJFBwQKqjJd5luUiLihvwk4uNWwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
VIRUSI VYA CORONA VYATUA NCHINI KENYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-sLanmpzqqI8/Xms-W3dk7GI/AAAAAAAC00c/6mWq-8EJFBwQKqjJd5luUiLihvwk4uNWwCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Kulingana na Waziri wa Afya Mutahi Kagwe, mgonjwa huyo raia wa Kenya alithibitishwa kuwa na virusi hivyo baada ya kurejea nchini humo kutoka Marekani, Alhamisi, Machi 5.
Amelazwa katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH). Waziri ameripoti kuwa, mgonjwa huyo wa kike aliyejipeleka hospitali mwenyewe baada ya kuhisi maumivu anaendelea vizuri na matibabu na kwamba joto lake la mwili...
9 years ago
Mtanzania23 Nov
Magufuli aitikisa Muhimbili
*Uongozi wahaha siku za mapumziko
* Sefue leo kufanya ukaguzi, kufuatilia maagizo
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
UAMUZI wa Rais Dk. John Magufuli kumng’oa aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dk. Hussein Kidanto, umesababisha wafanyakazi wa hospitali hiyo na viongozi wao kufanya kazi hadi siku za mapumziko.
Hatua hiyo imekuja wiki chache baada ya Dk. Magufuli, kufanya ziara ya kushtukiza hospitalini hapo, Novemba 9 ikiwa ni ziara yake ya pili baada ya ile...