Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wastaafu Tazara walalamikia uduni wa malipo

WASTAAFU wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wamelalamikia uongozi wa shirika hilo kwa kulipa malipo yao kwa kufuata utaratibu ambao hautambuliwi na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali (CAG).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Askari polisi wastaafu Kilimanjaro wasotea malipo miaka mitano

Polisi waliostaafu kazi mwaka 2009 na kurejeshwa kazini kwa mkataba wa miaka miwili mkoani Kilimanjaro, wanasotea fedha za kusafirisha mizigo kurudi makwao kwa mwaka wa tano sasa.

 

10 years ago

Habarileo

RC: Ni aibu mkoa kuongoza uduni wa elimu

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku GallawaMKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa amesema ni aibu kwa Mkoa kuongoza kwenye uduni wa elimu na kuwataka watendaji wa halmashauri kuhakikisha Mkoa unatoka hapo ulipo.

 

10 years ago

GPL

BUSEGA: UBOVU WA MIUNDOMBINU, UDUNI WA HOSPITALI NI KERO!

BUSEGA ni miongoni mwa majimbo yanayopatikana ndani ya mkoa mpya wa Simiyu. Awali, jimbo hili lilikuwa ndani ya Mkoa wa Mwanza kabla ya mgawanyo wa mikoa uliofanyika siku za hivi karibuni. Mhe. Dk. Titus Dismas Mlengeya Kamani. Busega ni jimbo linalowakilishwa na Mhe. Dk. Titus Dismas Mlengeya Kamani ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi. Kabla ya hapo, Busega iliongozwa na Mhe. Dk. Raphael Chegeni. Katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Kupuuza Sekta ya Kilimo chanzo cha uduni wa maendeleo

Pamba ni malighafi muhimu katika utengenezaji wa nguo.

 

10 years ago

Mwananchi

Uwanja wa ndege Dar washika nafasi ya nne kwa uduni

Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Moses Malaki amesema uwanja wake umechakaa kiasi cha kukosa sifa za kuwa uwanja wa kisasa barani Afrika na dunia.

 

10 years ago

Habarileo

Wastaafu kukopeshwa

BENKI ya Posta Tanzania kwa kushirikiana na Mfuko wa Pensheni wa LAPF, wamezindua mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wastaafu wamteka JK

RAIS Jakaya Kikwete amehujumiwa na viongozi wakuu wastaafu waliomlazimisha kuachana na msimamo wa muundo wa muungano wa serikali tatu na kukumbatia serikali mbili zilizopendekezwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Taarifa...

 

11 years ago

Habarileo

Darcoboa walalamikia Dart

MWENYEKITI wa Umoja wa Wamiliki wa Daladala jijini Dar es Salaam(DARCOBOA), Subri Mabrouk amelalamikia Wakala wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (Dart), kwa kuwaondoa katika mradi huo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkomazi walalamikia kodi

Mtaalamu wa Wanyamapori katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi, Tony Fitzjohn, amesema kodi kubwa inayotozwa katika vifaa vinavyotolewa na wahisani, ni kikwazo kikubwa katika vita dhidi ya ujangili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani