Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasunni wateka Anbar, Magharibi mwa Iraq

Wanamgambo wa Kisunni nchini Iraq wamechukuwa uthibiti kamili wa mipaka yote ya taifa hilo na mataifa ya Syria na Jordan.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Iraq:Serikali mpya kushirikisha wasunni

Msemaji wa chama cha waziri mkuu nchini Iraq ameimbia BBC kwamba Nouri al Malik atabuni serikali itakayoshirikisha kila mtu

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji waislamu wateka mikoa Iraq

Wapiganaji wa Islamic State of Iraq na Levant kutoka Syria wameteka mikoa kadhaa nchini ambapo maelfu ya watu wametoroka kwao.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mameya magharibi mwa Ufaransa wamepiga marufuku watu kuwa wagonjwa kutokana na ukosefu wa madaktari

Hatua hiyo isio ya kawaida iliotekelezwa na mameya tisa ina lengo la kutoa hamasa dhidi ya hali mbaya ya afya nchini humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Ukraine wateka Sloviansk

Rais wa Ukraine Petro Poroshenko ametaja utekaji wa mji wa Sloviansk mashariki mwa Ukraine kama mafanikio makubwa.

 

11 years ago

Mwananchi

KCCA wateka Kombe Mapinduzi

Bao la mshambuliaji Herman Waaswa lilitosha kuipa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi timu ya KCCA ya Uganda baada ya kuichapa Simba 1-0 katika mechi ya fainali iliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

 

11 years ago

GPL

Friends of Simba wateka beki Azam

Joram Mgeveke akisani mkataba kujiunga na timu ya Simba mbele ya mwenyekiti wa kamati ya Usajili Simba, Zacharia Hans Pope. Na Sweetbert Lukonge
KAMATI ya Usajili ya Simba iliyopo chini ya mwenyekiti, Zacharia Hans Pope, imeizidi kete Azam FC baada ya kumsajili beki wa kati wa Lipuli ya Iringa na timu ya taifa, Taifa Stars, Joram Nasson Mgezeke. Mgezeke ambaye amekuwa chaguo pekee la Kocha Mholanzi wa Taifa Stars, Mart Nooij...

 

10 years ago

Mwananchi

Majambazi wateka magari, wapora mali

Watu wanaodhaniwa kuwa majambazi walifunga Barabara ya Morogoro - Iringa katika eneo la Njia Panda ya Kilosa na baadaye kuteka magari na kupora mali za watu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wafuasi wa Urusi Ukraine wateka kituo

Ofisi ya polisi katika mji mmoja wa mashariki mwa Ukraine yavamiwa na wafuasi wa Urusi waliovaa sare ya jeshi

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wateka wizara za serikali Libya

Wapiganaji nchini Libya wameteka ofisi na majengo ya wizara za serikali mjini Tripoli na kuwazuia wafanyakazi kuingia ofisini

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani