Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watakiwa kuhifadhi vifungashio

Wananchi wametakiwa kuwa makini na vocha za pembejeo za kilimo wanazotumia kwa kuhifadhi vihifadhio vya mbolea hizo ili kudhibiti wauzaji bandia iwapo mbegu au mbolea walizotumia hazitakuwa na ubora.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Watakiwa kuacha kuhifadhi fedha majumbani

BODI ya Bima ya Amana imewataka wananchi kujenga utamaduni na kuendelea kuweka fedha benki, kwani ni njia salama na ina faida kiuchumi kwao na kwa nchi. Akizungumza na waandishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA KUINUA VIPAJI VYA KUHIFADHI QURAN JIMBO LA KIKWAJUNI YANDAA MASHINDANO MADOGO YA KUHIFADHI QURAN

 M.C. wa shughuli  Ustaadh Khamis Ameir akisoma utaratibu wa mashindano madoga ya kuinua vipaji ya kuhifadhi Quran ya Jimbo la Kikwajuni yaliyofanyika uwanja wa Alabama Michenzani Mjini Zanzibar. Mwafunzi Ramla Khamsin Jafar wa madrasati Nurul-iman akionyesha jitihada zake katika mashindano ya kuhifadhi yaliyofanyika ya Jimbo la Kwahani.  Baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa kina mashindano hayo. Jaji kiongozi Abushayth Daud Mohudhar akitoa matokeo ya mashindano hayo. Mgeni rasmin Mbunge wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Vifungashio changamoto kwa wajasiriamali

>Wazalishaji wadogo nchini wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa vifungashio kwa ajili ya bidhaa wanazozalisha hali inayochangia kuzifanya zishindwe kumudu ushindani na bidhaa nyingine kutoka nje ya nchi hususani katika bei.

 

5 years ago

Michuzi

APRILI 30 MWISHO MATUMIZI YA VIFUNGASHIO ‘TUBINGS’ VYA PLASTIC


Katika kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la wazalishaji wa vifungashio vya plastiki aina ya tubings vinavyotumika kufungashia bidhaa kama karanga, ubuyu na barafu, vikiwa havina kibali kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS), havina lakiri (seal) wala alama (label) kama kanuni namba 3 inavyoelekeza. Vifungashio hivi sasa vinazalishwa kwa wingi kwa ukubwa mbalimbali na vimekuwa vikitumika kama mifuko ya kubebea bidhaa sokoni.

Kwa mantiki hiyo, Katika masoko yetu hali...

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAMEASWA KUHIFADHI MAZINGIRA.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akifungua Mkutano wa wadau wa mazingira unaohusu Miradi ya majaribio nchini wa Mkakati wa Kupunguza Uharibifu wa Misitu (MKUHUMI) leo jijini Dar es salaam.  Kiongozi wa wawezeshaji kutoka Asasi isiyo ya kiserikali ya Niras kutoka Finland inayosimamia Miradi ya majaribio nchini wa Mkakati wa Kupunguza Uharibifu wa Misitu (MKUHUMI) Merja Makela akitoa mada wakati wa mkutano wa wadau wa mazingira kuhusu namna bora ya kuhifadhi mazingira na...

 

10 years ago

BBCSwahili

TZ tayari kuhifadhi walioachiliwa ICTR

Tanzania inasema ina uwezo wa kuwapa hifadhi ya kudumu Raia wa Rwanda waliochiwa huru na mahakama ya ICTR

 

10 years ago

Habarileo

UNHCR yamshukuru JK kuhifadhi wakimbizi

Mkurugenzi Mkuu wa UNHCR, Antonio GuterresSHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi Duniani (UNHCR), limesema kuwa Tanzania imekuwa kimbilio salama la wakimbizi kwa sababu ni nchi salama, tulivu, yenye uhusiano mzuri wa kijamii na inayoongozwa na sera nzuri na za kibinadamu.

 

11 years ago

Mwananchi

Handeni washauriwa kuhifadhi vyakula

Wananchi wa wilayani hapa wameshauriwa kuhifadhi chakula na kuachana na tabia ya kuuza mahindi yakiwa machanga shambani.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbaroni kuhifadhi wahamiaji haramu

 Idara ya uhamiaji mkoani Geita, inawashikilia wakazi wawili wa Nyamboge, wilayani Geita, kwa tuhuma za kuhifadhi wahamiaji haramu 18 kutoka nchini Burudi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani