Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watakiwa kutafiti magonjwa na kushauri tiba bora

WATAALAMU wa sekta ya afya nchini wameshauriwa kutumia taaluma yao kutafiti visababishi vya magonjwa mbalimbali yanayoathiri jamii na kuleta majibu ya jinsi ya kutokomeza vimelea vya magonjwa hayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

TIBA MBADALA: Kunywa maji ya moto ni tiba ya magonjwa mengi

>Kuna tiba nyingi za kitabibu, zilizogawanyikaa katika makundi mbalimbali. Kuna zile za hospitali ambazo ni lazima zinunuliwe, lakini kuna tiba ambazo kwa ushauri wa daktari hata wewe unaweza kuziandaa bila kutumia gharama kubwa.

 

5 years ago

Michuzi

DKT. MAGUFULI AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUGEUKIA TIBA ASILI KUKABILIANA NA MAGONJWA

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
RAIS Dkt. John Magufuli amewataka wananchi kutodharau matumizi ya dawa za kienyeji hasa katika kukabiliana na maradhi mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa mlipuko wa Corona (Covid-19.)
Akizungumza leo jijini Dodoma wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya lami katika mji wa kiserikali Mtumba, Magufuli amesema kuwa  wengi wamekuwa wakidharau matumizi ya dawa za kienyeji kwa kile kinachoelezwa kuwa zimepitwa na wakati huku zikiwa zimeonesha...

 

5 years ago

Michuzi

WAJASIRIAMALI WATAKIWA KUJIKINGA DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO


Na.Catherine Sungura-Chato
Wajasiliamali wote nchini wametakiwa kujikinga dhidi ya magonjwa ya milipuko wanapofanya biashara zao ndani na nje ya nchi
Elimu hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Zainabu Chaula wilayani hapa kwenye kongamano la wajasiriamali lililoandaliwa na Chama cha Wanataaluma Waadventista Tanzania (ATAPE).
Amesema kongamano hilo la wajasiriamali, ni tendo jema lenye baraka, "nimekuwa kwenye ziara mikoa ya kigoma...

 

10 years ago

Vijimambo

MADAKTARI VIJANA WATAKIWA KUBOBEA PIA KATIKA MAGONJWA YA NGOZI

Mmoja wa waratibu wa Semina ya madaktari kuhusu magonjwa ya ngozi, Jesinta Mboneko, akimkaribisha mmoja wa washiriki hiyo, Muuguzi katika hospitali ya Mbezi Medical Clinic inayojishughulisha na magonjwa hayo, Sarah Nyabhenda, kwenye ukumbi wa semina hiyo katika hoteli ya Protea Cortyard, Upanga jijini Dar es Salaam, jana jioni.Baadhi ya washiriki wakianza kuingia kwenye semina hiyoMkuu wa Idara Chuo Kikuu cha Tiba Muhimbili (MUHAS), Dk. Denis Russa akiwakaribisha washiriki kwa ajili ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Chama cha Afya ya Jamii (TPHA) watembelea Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na tiba ya “The Benjamin Mkapa Ultramodern Hospital”!!

DSC_2982

Baadhi ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa maafisa  wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa  na Tiba ya “The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital” iliyopo ndani ya viunga vya Chuo kikuu cha Dodoma UDOM. Ziara hiyo imefanyika jana Desemba Mosi. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).

[DODOMA] Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) kipo katika mkutano wake mkuu wa...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA TIBA, UCHUNGUZI NA MAFUNZO YA MAGONJWA YA SARATANI, MATUMBO NA INI UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI CHAFUNGULIWA MUHIMBILI

Kituo cha uchunguzi na mafunzo ya magonjwa ya saratani, matumbo na ini Ukanda wa Afrika Mashariki kimefunguliwa rasmi mwishoni mwa juma. Sherehe hizo zilifanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili mwishoni mwa juma ambapo Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Fuatilia katika picha matukio wakati wa ufunguzi. Description: DSC_1474 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akipongezana na Profesa Meinrad Classen wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Tiba bora zisiishie hospitali za mijini

Baada ya kuapishwa, Rais John Magufuli alianza kazi kwa kuitembelea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambako hakuridhishwa na huduma ya afya inayotolewa katika hospitali hiyo.

 

9 years ago

StarTV

Manyara wajenga vyoo bora kiafya kudhibiti magonjwa ya mlipuko

Mkoa wa Manyara umeendelea kuchukua hatua mbalimbali kukabiliana na magonjwa ya milipuko kwa kujenga vyoo vinavyozingatia vigezo vya kiafya na kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na salama hususani vijijini ambako mara nyingi kuna changamoto ya ufahamu kuhusu elimu ya usafi wa mazingira.

Mkakati wa uboreshaji wa vyoo na miundo mbinu bora ya maji ni hatua itakayochangia kuiokoa jamii kutoka kwenye dhana ya kujisaidia ovyo vichakani na pia kutotumia maji safi na salama.

Shule ya msingi Guse...

 

10 years ago

Michuzi

WAGANGA WA TIBA ASILI ZANZIBAR WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA MADAKTARI WA WIZARA YA AFYA

 Mwenyekiti wa Shirika la World Doctors kutoka Itali Bi. Tanya Niestedt (kulia) akizungumza na Waganga wa Tiba asili hawapo pichani katika semina ya siku moja ya yakuwataka waganga hao washirikiane na Madaktari katika kutibu magonjwa ya Kisukari na Presha, kushoto ni Mkuu wa kitengo cha maradhi yasiyo ambukiza Zanzibar Dkt. Omar Mwalim, hafla hiyo imefanyika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Mjini Zanzibar.  Mkuu wa kliniki ya Kisukari Hospitali ya Mnazi mmoja Dkt. Faiza Kassim...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani