Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania wanategemea maajabu Serikali ijayo iwaondolee umaskini

Tangu Watanzania wapate uhuru mwaka 1961, awamu tofauti za Serikali zilizoingia madarakani zilikuwa na mikakati ya kuwaondoa Watanzania zaidi ya asilimia 80 kwenye umaskini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Gesi asilia inavyofungua njia kwa Watanzania kuagana na umaskini

Kwa muda mrefu Tanzania imekuwa haina chanzo cha uhakika cha nishati ya umeme, jambo ambalo limekuwa likiirudisha nchi nyuma kimaendeleo.

 

10 years ago

Michuzi

HOJA YA HAJA: Je kuna nia ya dhati ya kuwaondolea watanzania umaskini?


 Tunapoelekea kwenye kipindi hiki cha uchaguzi wagombea urais watarajiwa wanajaribu kuwaeleza watu  mambo yenye mvuto kwao na kuonyesha  kuwa wataifanya Tanzania  iwe nchi ya maziwa na asali. Nafahamu watatupa ahadi nyingi zaidi wakati wa kampeni.Lakini kinachonisikitisha  zaidi ni pale  wanasiasa  wanaposema  wanakerwa na umaskini wa watanzania na nia yao  ni kuondoa umaskini. 
Lakini hapo hapo anahamasisha maelfu ya  vijana na watu wengine kuacha kazi zao   kumsindikiza kwenda kuchukua fomu...

 

10 years ago

Mtanzania

Maajabu uchaguzi Serikali za Mitaa

Pg 1....

Na Waandishi Wetu, Dar na Mwanza

HAYA ni maajabu. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wapiga katika kituo cha Shule ya Msingi Mwenge, Kinondoni jijini Dar es Salaam kufika kituoni na kukuta majina yao yakionyesha tayari wamepiga kura.
Hali hiyo, ilisababisha kuibuka vurugu kubwa ambazo zilisababisha upigaji kura katika uchaguzi huo wa marudio, kusitishwa kwa muda.
Msimamizi wa uchaguzi katika kituo hicho, Nasoro Kichuma alisema uchaguzi huo ulianza vizuri, lakini kadrii muda ulivyozidi kwenda...

 

10 years ago

GPL

DK. CHENI AIPASUKIA SERIKALI IJAYO

Muigizaji nguli nchini, Mahsein Awadh Said ‘Dk Cheni’. Boniphace Ngumije
MUIGIZAJI nguli nchini,Mahsein Awadh Said ‘Dk Cheni’ hivi karibuni ametoa ya moyoni kwa kusema kuwa serikali
ijayo iache mambo ya blabla bali itimize ahadi ambazo imekuwa ikitoa kwa wasanii ikiwa ni pamoja na kulinda haki
na masilahi yao. Akizungumzia jinsi alivyouona uchaguzi, Dk Cheni alisema ameridhika na matokeo lakini akatoa rai kwa wale...

 

5 years ago

Michuzi

KUNDI LA PILI LA WATANZANIA WALIOKWAMA AFRIKA KUSINI LINATARAJIWA KUREJEA NYUMBANI MAPEMA WIKI IJAYO

Na Mwandishi wetu, Pretoria


Kundi la pili la Watanzania waliokwama nchini Afrika Kusini kutokana na Lockdown nchini humo iliyosababishwa na ugonjwa wa Corona linatarajia kurejeshwa nchini mwanzoni mwa wiki ijayo mara tu baada ya taratibu za safari hiyo kukamilika, imefahamika.


Kwa mujibu wa ubalozi wa Tanzania nchini humo, jumla ya Watanzania 63 wamekuwa katika harakati za kutaka kurejea nyumbani lakini wamekwama kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kuchelewa kwa vibali vya kusafiri nje...

 

10 years ago

Mwananchi

Wamachinga ‘waitupia’ ombi Serikali ijayo

Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama wamachinga, wameomba viongozi watakaochaguliwa kuwaandalia eneo la kudumu la kufanyia biashara ili kuondokana na vurugu za mara kwa mara kati yao na Serikali.

 

10 years ago

Mwananchi

Huyu ndiye rais nimtakaye Serikali ijayo

Miezi michache imebaki kabla ya Watanzania kuwachagua viongozi wa Serikali ya awamu ya tano.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ijayo ije na tiba ya elimu ya awali

Mwaka huu Watanzania tunafanya uamuzi wa kikatiba wa kuwachagua wawakilishi wetu katika ngazi mbalimbali

 

11 years ago

Mwananchi

Maige adai kuwa na Serikali tatu nchi itaingia maajabu ya dunia

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Almas Maige amesema endapo wajumbe wa Bunge hilo watapitisha muundo wa Serikali tatu, nchi itaingia katika kitabu cha maajabu ya dunia cha Guiness Book of Records.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani