DK. CHENI AIPASUKIA SERIKALI IJAYO

Muigizaji nguli nchini, Mahsein Awadh Said ‘Dk Cheni’. Boniphace Ngumije MUIGIZAJI nguli nchini,Mahsein Awadh Said ‘Dk Cheni’ hivi karibuni ametoa ya moyoni kwa kusema kuwa serikali ijayo iache mambo ya blabla bali itimize ahadi ambazo imekuwa ikitoa kwa wasanii ikiwa ni pamoja na kulinda haki na masilahi yao. Akizungumzia jinsi alivyouona uchaguzi, Dk Cheni alisema ameridhika na matokeo lakini akatoa rai kwa wale...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Wamachinga ‘waitupia’ ombi Serikali ijayo
10 years ago
Mwananchi17 Jun
Huyu ndiye rais nimtakaye Serikali ijayo
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Serikali ijayo ije na tiba ya elimu ya awali
10 years ago
Mwananchi14 May
Watanzania wanategemea maajabu Serikali ijayo iwaondolee umaskini
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Mikakati inayopaswa kuzingatiwa na Serikali ijayo ili kujenga uchumi bora
11 years ago
Vijimambo28 Oct
10 years ago
Bongo Movies16 May
Dr Cheni Ajigeuza Mwanamke!
Staa mkongwe wa Bongo Movies, Mahsein Awadh ‘Dokta Cheni’ kwa mara ya kwanza ataibuka kama mwanamke katika filamu inayokwenda kwa jina la ‘ Nimekubali kuolewa’ inayotarajiwa kutoka Mei 21 mwaka huu baada ya kucheleweshwa kutoka na bodi ya filamu nchini ambayo ilikuwa na wasiwasi nayo katika baadhi ya vipengele.
Akizungumza na gazeti la Sani, Dokta Cheni alisema kwamba filamu hiyo ni nzuri na imefanyika katika ubora wa hali ya juu.
Aidha, alikiri kusimamishwa na bodi ya filamu na kusema...
11 years ago
GPL
DK. CHENI: FREEMASON WANANITESA