Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania waombea Nigeria ifungwe

Tembea uone. Wakati Watanzania waliopo nchini Tanzania pamoja na Waafrika wengine wakiombea Nigeria ishinde mechi zake na kuing’arisha vyema  nyota ya Afrika, kumbe maisha ni tofauti kwa Watanzania wanaoishi Brazil. Karibu  wengi wanaombea Nigeria ifungwe mechi zake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wanaharakati waombea amani Burundi

Wanaharakati na Vijana wamekusanyika mjini Nairobi kwa ajili ya mkesha na kuwasha mishumaa kuwakumbuka Raia wa Burundi waliouawa.

 

9 years ago

Mwananchi

Wasanii waombea amani Uchaguzi Mkuu

Wasanii wa muziki wa Injili wamewataka viongozi wa kisiasa na Watanzania kuombea amani na utulivu katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu, Oktoba 25.

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA UBUNGO SAID KUBENEA ASHAURI MISIKITI, MAKANISA IFUNGWE KUEPUKA CORONA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam Said Kubenea ameshauri ni kwanini misikiti na makanisa yasifungwe ili kuepusha waumini wa dini hizo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 (Corona).

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Kubenea amesema pamoja na hatua mbalimbali ambazo zinachukuliwa na Serikali na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto lakini iko haja ya kuchukua hatua zaidi ya zilizopo sasa.

Kubenea amesema kwa mujibu wa Shirika la Afya...

 

9 years ago

MillardAyo

Tekno wa Nigeria kathibitisha Kolabo za Watanzania hawa watatu….

Hit Maker wa singo ya Duro kutoka Nigeria Tekno leo ametaja Wasanii wa Kitanzania ambao tayari ameshafanya nao kolabo ambao hajui lini nyimbo hizi zitatolewa rasmi. Kwenye interview yake na kipindi cha XXL kutoka Clouds Fm Tekno amesema mpaka sasa amesharekodi na Rummy,Vanessa Mdee na Diamond Platnumz. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]

The post Tekno wa Nigeria kathibitisha Kolabo za Watanzania hawa watatu…. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZUNGUMZA NA WATANZANIA WANAOISHI NCHINI NIGERIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Watanzania wanaoishi Nchini Nigeria katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania mjini Abuja Nigeria leo May 29,2015. Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria Mhe. Danniel Ole Njolai akimkabidhi zawadi ya saa iliyotolewa na Watanzania wanaoishi Nchini Nigeria Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, baada ya kuzungumza na Watanzania hao katika Ofisi ya Ubalozi wa...

 

9 years ago

Bongo5

Watanzania washindwa kung’ara kwenye ‘The Future Awards Africa 2015’ Nigeria

Vanessa

Tanzania ilikuwa na wawakilishi watatu kwenye tuzo za ‘The Future Awards Africa’ (TFAA) za mwaka huu zilizotolewa Jumapili Dec.6 huko jijini Lagos, Nigeria. Miongoni mwa waliotuwakilisha alikuwemo muimbaji wa ‘Never Ever’ Vanessa Mdee.

Vanessa

Bahati haikuwa yetu safari hii kwani hakuna muwakilishi wetu yeyote aliyeibuka na tuzo. Mbali na Vanessa wengine waliotuwakilisha ni Felix Richard Manyogote na Witness Sanga. Vanessa alienda Nigeria kuhudhuria tuzo hizo.

Mwaka jana (2014) Diamond Platnumz...

 

5 years ago

Michuzi

KIGOGO BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA AMBAYE NI RAIA WA NIGERIA ANASWA JIJINI DAR, WAMO PIA WATANZANIA WAWILI...



Watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya wakiwa chini ya ulinzi baada ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini kuwanasa jijini Dar es Salaam.Tanki la maji machafu ambalo lilitengenezwa na watuhumiwa hao wa biashara ya dawa za kulevya kwa ajili ya kuwekea dawa hizo kama sehemu ya kuzificha.Hata hivyo tanki hilo walichelewa kulikamisha na hivyo dawa hizo kuzihifadhi ndani ya nyumba.
 
Na Ripota Wetu,Michuzi TV

MAMLAKA ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya jana...

 

5 years ago

Michuzi

UPELELEZI KATIKA KESI YA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA ZAIDI YA KILO 270 INAYOMKABILI RAIA WA NIGERIA, WATANZANIA WAWILI BADO HAUJAKAMILIKA


Na Karama Kenyunko, Michuzi TV

UPELELEZI katika kesi ya kukutwa na dawa za kulevya zaidi ya kilo 270 inayomkabili Raia wa Nigeria, David Chukwu (38) na Watanzania wawili katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu bado haujakamilika.

Mbali na Chukwu ambaye ni Mkazi wa Masaki, washitakiwa wengine ni Isso Lupembe (49) Mkazi wa Mbezi na Allistair Mbele (38).

Wakili wa Serikali, Ester Martin alidai jana mbele ya Hakimu Mfawidhi Godfrey Isaya kuwa kesi hiyo imekuja kwa ajili ya kutajwa na kwamba...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA LAZIMA TUWE MAKINI NA MATAJIRI WA NCHI HII KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU NA USTAWI WA WATANZANIA MASKINI

Ni wazi kwamba ningependa siku moja watanzania waweze kujua ukweli wa nini kinafanywa na matajiri wa nchi hii.Matajiri waliojaa  ulafi wa kunufaika na rasilimali za nchi hii kwa manufaa yao na familia zao ukijumlisha wapambe wao na washirika wa ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania. Ni katika vita hii ndio inayopelekea serekali yetu kuyumba na kuyumbishwa (STATE TO BE CAPTURED) na hawa matajiri pale wanapopigania maslahi yao na kudiriki kutumia utajiri wao na umiliki wao wa vyombo kama vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani