Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watendaji ‘wanaotafuna’ fedha za wakulima kukiona

MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego ameapa kula sahani moja ikibidi kuwashikia bakora baadhi ya watendaji wake mkoani humo watakaobainika kutafuna fedha za wakulima wa zao la korosho zinazotolewa na mfuko wa kuendeleza zao hilo nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Watendaji waliohujumu fedha kukiona

Watumishi wa Wilaya ya Mufindi wanaotuhumiwa kutafuna fedha za halmashauri hiyo, watajulikana Novemba 24 mwaka huu baada ya kufanyika kwa kikao cha kamati ya fedha.

 

10 years ago

Habarileo

Watendaji wenye tamaa kukiona

RAIS Jakaya Kikwete amesema itatengenezwa dawa ya wadaiwa sugu wa maji hususan taasisi za Serikali, walipe ankara zao kwa wakati. Alisema sasa halmashauri zina fedha nyingi kuliko wakati wowote kutokana na ongezeko la kukusanya kodi; jambo alilotaka fedha zinazotengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo zitumike kama ilivyokusudiwa.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Watendaji legelege TAKUKURU kukiona


NA EVA-SWEET MUSIBA, SIRARI
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imezitaka idara za udhibiti za katika mpaka wa Sirari, kufanya kazi uadilifu ili kudhibiti bidhaa zisizofaa kuingizwa nchini.
Imeonya kuwa kinyume cha agizo hilo, watendaji watakaobanika watachukuliwa hatua kali kwa mujibu wa sheria.
Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Mara, Joseph Holle, alisema kuwa idara hizo zinapaswa kufanya kazi kwa pamoja ili kuhakikisha bidhaa zisizofaa kutoka nchi jirani haziingizwi nchini.
Alisema...

 

9 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akutana na watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango

IMG_6071

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dkt. Servacius Likwelile akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji kabla ya kuanza majadiliano na watendaji wa Wizara na Taasisi.

IMG_6171

Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiongea na watendaji wa Wizara na Taasisi alipokutana nao katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango. 

Akizungumza na uongozi wa Wizara na Taasisi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji aliwaasa...

 

10 years ago

Habarileo

‘Mchwa’ fedha za umma kukiona

Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tamisemi, Hawa Ghasia OFISI wa Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imeziagiza halmashauri zote nchini, kuanzia Julai Mosi, mwaka huu kuanza kutumia mfumo wa kielektroniki katika ukusanyaji wa mapato yote ya ndani.

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi watakaofuja fedha za umma kukiona

Serikali wilayani Siha imesema haitamvumilia kiongozi atakayebainika kufuja fedha zilizotengwa kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo vijijini.

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Shein akutana na watendaji wa wizara ya Fedha

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha katika mkutano wa siku moja uliozungumziautekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,

Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Fedha wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Omar Yussuf Mzee(hayupo pichani) alipokuwa akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara kwa kipindi cha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani: Watendaji wanaokula fedha wachapwe viboko

DIWANI wa Rungwa, Tarafa ya Itigi, wilayani Manyoni, Singida, Edward Machapaa, amependekeza adhabu ya kuchapwa viboko itolewe kwa watendaji wanaokula fedha za wananchi zilizotolewa na serikali kwa ajili ya kukamilisha...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt. Ashatu Kijaji akutana na watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango

Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiongea na watendaji wa Wizara na Taasisi alipokutana nao katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango.  Akizungumza na uongozi wa Wizara na Taasisi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji aliwaasa viongozi kutekeleza majukumu waliyokabidhiwa na kuhakikisha bajeti ya Serikali inalenga vipaumbele vinavyogusa wananchi katika kutekeleza ahadi ya Serikali. Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akijadiliana na watendaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani