Watoto kuamua ikiwa wanataka kuishi Ubelgiji
Wabunge wa Ubelgiji wamepitisha sheria inayoruhusu mtoto kufanya maamuuzi kuhusu maswala ya kifo anapokuwa mgonjwa mahututi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili17 Sep
Scotland kuamua ikiwa itajitenga au la
5 years ago
BBCSwahili01 Apr
Mwanamke aliye kwenye ndoa anaweza kuamua kutopata watoto ?
11 years ago
GPLWATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MTWARA WAKOSA MAHALI PA KUISHI
11 years ago
MichuziBALOZI WA TANZANIA UBELGIJI AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI LIEGE - UBELGIJI
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Lupita: Wazazi wanataka niolewe
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA wa filamu nchini Kenya ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani, Lupita Nyong’o, amesema wazazi wake wanamshawishi aolewe ili wapate wajukuu.
Lupita kwa sasa anafanya vizuri katika filamu nchini Marekani na amefanikiwa kuchukua tuzo za Oscar mapema mwaka huu, hivyo baada ya kupata tuzo hiyo alitembelea nchini Kenya na kukutana na familia yake ambapo ilimtaka aolewe.
“Nilipokuwa nchini Kenya wiki chache zilizopita nilikutana na familia yangu ambapo miaka mingi tulikuwa...
10 years ago
BBCSwahili04 Jul
Ugiriki:Wakopeshaji wanataka kutudhulumu
9 years ago
Habarileo02 Nov
‘Watanzania wanataka mabadiliko ya maendeleo’
MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, amesema ushindi wa kishindo wa Dk John Magufuli, ni ishara kuwa Watanzania wanataka mabadiliko ya maendeleo na si bora mabadiliko.
11 years ago
Habarileo23 Apr
'Wananchi waulizwe wanataka Serikali ngapi'
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ezekiah Oluoch amemwomba Rais Jakaya Kikwete kuchukua hatua ya kuwasilisha muswada katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa hati ya dharura ili kuifanyia marekebisho Sheria ya Marekebisho ya Katiba.
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Watanzania wanataka maisha bora si maadhimisho
LEO Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaadhimisha miaka 37 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977, ambapo sherehe zake zitafanyika katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. CCM iliundwa Februari 5, mwaka 1977 chini...