Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto yatima wahitaji msaada kulelewa

VITUO zaidi ya 180 nchini ndio vinavyolea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi huku 39 kati ya hivyo ndio vilivyosajiliwa na kwa Mkoa wa Arusha vinavyofanya kazi ni 13 huku vingine vikitoa huduma kwa watoto bila ya kusajiliwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga atoa msaada wa bidhaa mbali mbali kwa kituo cha kulelewa Watoto Yatima cha Casa Della Diaia,Tanga

Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga ya Kigango cha Mtakatifu Peter Feba Mabibo,Parokia ya Mtakatifu Yohana Mbatizaji Luhanga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Francis Mihayo akiwakabidhi watoto wa kituo cha kulelewa Watoto Yatima cha Casa Della Diaia(Nyuma ya furaha) cha Bombo Tanga, msaada wa vyakula na vitu mbalimbali walipotembelea kituo hicho mwishoni mwa wiki.Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga ya Kigango cha Mtakatifu Peter...

 

10 years ago

Vijimambo

TRA YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA - KAHAMA

 Baadhi ya vitu mbalimbali vilivyotolewa na mamlaka ya mapato TRA kahama la shirika la muvuma. Hili ndiyo jengo la ushirika la muvuma la kusaidi watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira hatarishi mjini kahama jengo hili kwa sasa ilinaitajika uzuio kwa ajili ya usalama kwa watoto hao . Meneja wa TRA kahama Peter Nkwabi akisalimia na muweka hazina wa shirika la muvuma Mjumbe wa shirika la muvuma Eliulie Matina alinyosha mkono kuonyesha baadhi ya maeneo ya jengo la watoto yatima kwa maofisa...

 

10 years ago

GPL

BENDI YA DORIVA YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

Mama mlezi wa kituo hicho Bi. Zaidia Nuru Hassan (aliyekaa kitini) akiwa na baadhi ya viongozi wa bendi ya Doriva. Wasanii  (kutoka kushoto) Josephine, Lucy na Sulwa wakipiga stori na baadhi ya watoto wanaolelewa kwenye kituo hicho.…

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco yatoa msaada kwa watoto yatima Dar

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa misaada ya vitu mbalimbali na kupata chakula cha mchana na watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Chakuwama kilichopo Sinza, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

TTCL yatoa msaada kituo cha watoto yatima Chamazi

Meneja wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoa wa Dar es Salaam Kusini, Adolf Matondo (kulia) akikabidhi sehemu ya msaada kwa kwa mmoja wa walezi wa watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund'. Meneja wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoa wa Dar es Salaam Kusini, Adolf Matondo (kulia) akikabidhi sehemu ya msaada kwa kwa mmoja wa walezi wa watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund'.Baadhi ya watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund' wakibeba sehemu ya msaada uliyotolewa kwao na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa kituo hicho ikiwa ni maandalizi ya Siku Kuu ya Pasaka. Baadhi ya watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund' wakibeba sehemu ya msaada uliyotolewa kwao na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa kituo hicho ikiwa ni...

 

11 years ago

Michuzi

HALMSHAURI YA WILAYA IRINGA YAKABIDHI MSAADA KWA WATOTO YATIMA

 Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka akiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima wa kituo Nyumbani kilichoko Ismani.  Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka akipanda mti katika shule ya msingi Igula katika Tarafa ya ismani  Wafanyakazi wa shirika la Restless Tanzania, Mwadawa na Amne wakitoa maelekezo kwa Mkurugenzi bg wa  Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka juu ya shughuli za shirika hilo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Nuru Group chatoa msaada kwa watoto yatima Sengerema

20150111_160810

Mwenyekiti wa kikundi cha Nuru cha wilayani Sengerema mkoani Mwanza Bw. George Tumbo akitoa utangulizi wa katika katika hafla ya kutoa msaada kwa watoto yatima iliyofanyika kwenye kituo cha Sengerema Telecentre.

Na Daniel Makaka, Sengerema

Kikundi cha Nuru group kilichopo kata ya Ibisabageni wilayani Sengerema mkoa Mwanza kimetoa msaada wa Sare za shule, viatu, Kalamu na Madaftari kwa watoto yatima 30 pamoja na wanaoishi katika mazingira magumu ili waweze kuendelea masomo mwaka huu.

Hayo...

 

11 years ago

GPL

KIJUMOZ FUMIGATION & CLEANING YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

Mkurugenzi wa Kijumoz, Mohamed Jumbe (kulia), akikabidhi misaada kwa katibu wa kituo cha Watoto Yatima cha Chakwama, Hassan Hamisi.
Mkurugenzi wa Kijumoz, Mohamed Jumbe, akimpatia mtoto zawadi ya tende.…

 

10 years ago

Vijimambo

Kampuni ya TTCL yatoa msaada kituo cha watoto yatima Chamazi

Baadhi ya watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund' wakibeba sehemu ya msaada uliyotolewa kwao na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa kituo hicho ikiwa ni maandalizi ya Siku Kuu ya Pasaka. Baadhi ya watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund' wakibeba sehemu ya msaada uliyotolewa kwao na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa kituo hicho ikiwa ni maandalizi ya Siku Kuu ya PasakaMeneja wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoa wa Dar es Salaam Kusini, Adolf Matondo (kulia) akikabidhi sehemu ya msaada kwa kwa mmoja wa walezi wa watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund'. Meneja wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoa wa Dar es Salaam Kusini, Adolf Matondo (kulia) akikabidhi sehemu ya msaada kwa kwa mmoja wa walezi wa watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani