Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watuhumiwa wa wizi Sh5 bil wapunguziwa kifungo

Mahakama Kuu imebatilisha kifungo cha miaka 30 jela walichokuwa wakitumikia wafungwa watatu kwa uporaji wa Sh5.3 bilioni zilizoporwa Benki ya NBC na kuwa kifungo cha miaka mitano jela.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kaya 12,300 kunufaika na miradi ya Sh5 bil Chamwino

Wakazi 12,280 wilayani Chamwino mkoani Dodoma wamenufaika na ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo iliyogharimu kiasi cha Sh5 bilioni kutoka Shirika la Kimataifa la Serikali ya Korea Kusini la Good Neighbours International (GNI).

 

10 years ago

Habarileo

Dawa za kulevya faini bil.1/-, kifungo miaka 30

BUNGE limepitisha rasmi Muswada wa Sheria ya Udhibiti wa Dawa za Kulevya wa mwaka 2014, huku adhabu ya kifo kwa watakaokutwa na dawa hizo, ikishindikana kuingizwa kwenye muswada huo, isipokuwa mapapa na vigogo wa biashara hiyo, wameongezewa adhabu ya faini ya Sh bilioni moja na kifungo cha maisha.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watuhumiwa wizi wa mtandao mbaroni

JESHI la Polisi Kanda Maalumu jijini Dar es Salaam limewakamata watu wawili wanaojihusisha na mtandao wa uhalifu kwa kutumia teknolojia ya mawasiliano (IT). Watuhumiwa hao Edison Mbekya (27), mkazi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa kuwa na mtandao wa wizi wa madini

Sakata la wizi wa madini ya Tanzanite ya uzito wa kilogramu 15 yenye thamani ya zaidi ya Sh10 bilioni uliotokea katika Mgodi wa Tanzanite One Mining Limited(TML) hivi karibuni limeendelea kuchukua sura mpya baada ya vigogo wawili ndani ya kampuni hiyo kutajwa kuunda mtandao mpana wa wizi wa madini hayo.

 

10 years ago

Habarileo

Makazi ya watuhumiwa wizi wa mifugo yateketezwa

WATU wasiojulikana wamevamia na kuchoma zaidi ya nyumba 10 za watuhumiwa watano wa wizi wa mifugo na wengine wanaojihusisha na migogoro ya ardhi wilaya ya Rorya mkoani Mara.

 

11 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa wa wizi wa Benki ya Barclays wafikishwa kortini

>Watu saba wakiwamo mameneja wawili wa Benki ya Barclays wamefikishwa katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka  ya wizi wa zaidi ya Sh479 milioni mali ya benki hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Wizi wa madini ya bil. 1,2/- wastukiwa

NJAMA na hujuma zinazodaiwa kupangwa na baadhi vigogo waliokuwa wafanyakazi wa Kampuni ya Tanzanite One iliyouza hisa zake, zinaendelea kushika kasi, kwani madini yenye thamani ya Dola za Marekani zaidi ya 790,000 (Sh bilioni 1.2) yamenusurika kuibwa hivi karibu.

 

9 years ago

Dewji Blog

Jeshi la Polisi lawashikilia watuhumiwa kumi na mbili wa wizi wa Makontena

PIX 1

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai  Bw.Diwani Athumani (CP) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo katika picha) jana jijini Dar es Salaam kuhusu uchunguzi wa sakata la watuhumiwa wa wizi wa makontena 329.

PIX 2

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Bw.Diwani Athumani (CP) alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu uchunguzi wa watuhumiwa wa wizi wa makontena kwa Mamlaka ya Bandari na Mamlaka ya Mapato Tanzania.

Na Nyakongo...

 

9 years ago

Michuzi

UCHUNGUZI WA SAKATA LA WATUHUMIWA WA WIZI WA MAKONTENA 329 KUCHUKULIWA HATUA

 Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai  Bw.Diwani Athumani (CP) akizungumza na waandishi wa habari ambao hawapo katika picha leo jijini Dar es Salaam kuhusu uchunguzi wa sakata la watuhumiwa wa wizi wa makontena 329.Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Bw.Diwani Athumani (CP) alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu uchunguzi wa watuhumiwa wa wizi wa makontena kwa Mamlaka ya Bandari na Mamlaka ya Mapato Tanzania.

Na Nyakongo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani