Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wavunjifu wa amani waonywa

MKUU wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe, amevionya baadhi ya vyama vya siasa vinavyowashawishi vijana kufanya vurugu, kung’oa mabango ya wagombea, kurusha mawe, kuzomea, kutoa vitisho na lugha za matusi vikomeshe mambo hayo mara moja.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Watanzania waonywa kuhusu amani

Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba.VIONGOZI wa dini, wanasiasa na wazee nchini wamewaonya Watanzania kujiepusha na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani.

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Slaa: Tutawashitaki The Hague wavunjifu haki za binadamu

DK-SLAANa Mwandishi Wetu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinakusudia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vilivyotokea miaka ya nyuma nchini.
Kwa mujibu wa mtandao wa Chadema Diaspora, Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, alitoa kauli hiyo juzi wakati akizungumza katika mkutano na wanasheria 12 wakubwa nchini Marekani, uliofanyika Bloomington Jimbo la Indiana kuhusu matukio makubwa ya uvunjifu wa haki za binadamu yaliyogusa jumuiya ya...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tufanye yote, wimbo wetu uwe amani, amani, amani

Wiki hii Raia Mwema lilifanya mahojiano na mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Kigwangala aongoza Mbio za Amani 2014, ahimiza amani nchini

Wanasiasa wameaswa kudumisha amani, upendo na mshikamano wa Tanzania, ili kuepuka vurugu zinazoweza kujitokeza ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa zikisababishwa na makundi ya wanasiasa, kwa kutoa ujumbe kwa wananchi unao chochea kuvurugukika kwa amani ya Tanzania. 
Akizungumza na wanamichezo wa vilabu mbalimbali vya kukimbia (Jogging) kutoka Tanzania bara na Zanzibar, katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,  Mbunge wa jimbo la Nzega, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya...

 

10 years ago

Michuzi

TUTASHIRIKIANA NA WAPENDA AMANI KUISAIDIA DRC KUWA NA AMANI - TANZANIA

Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa iliyokuwa ikijadili ajenda kuhusu tathmini ya jumla ya Operesheni za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kati ya nchi zinazochangia wanajeshi wake katika operesheni hizo za ulinzi wa amani. Sehumu ya wajumbe wa Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, wakifuatilia...

 

10 years ago

Dewji Blog

9 years ago

Michuzi

WADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI

Hapa ni katika ukumbi wa Vigirmark Hotel mjini Shinyanga ambako jana Jumanne,Oktoba 20,2015,wadau mbalimbali wa amani mkoani Shinyanga wamekutana kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano wa kudumisha amani katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2015.Kikao hicho kimeandaliwa na uongozi wa mkoa wa Shinyanga likiwemo jeshi la polisi kwa kushirikiana na Shirika la Save The Children linalojihusisha na utetezi wa haki za watoto.
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Tumwache Mwalimu apumzike kwa amani amani

Watangazania urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), wameanza kutangaza nia na wengine kuchukua fomu

 

9 years ago

StarTV

Wadau wa amani Tanga wajadili udumishaji amani

Wadau wa amani jijini Tanga wamekutana kujadili namna ambayo watadumisha amani kwenye kipindi cha kampeni na uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na nafasi ya urais unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.

Wadau hao ni viongozi wa dini na wa kisiasa, makundi ya kijamii na waandishi wa habari ambao wote kwa pamoja wametakiwa kutumia nafasi zao kuhakikisha amani inaendelea kuwepo wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi.

Nafasi ya viongozi wa dini, siasa, makundi ya kijamii na waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani