Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wawili wauawa Texas

Polisi mjini Texas
POlisi mjini Texas wamewapiga risasi watu wawili kwa kuwashambulia polisi na risasi

Polisi mjini Texas wanasema kuwa wamewapiga risasi na kuwaua watu wawili waliokuwa na silaha, waliowashambulia walinda usalama kwa risasi, walipofika katika eneo la hafla moja yenye utata ya uchoraji wa vibonzo vya kuwakejeli waislamu na mtume Mohammed.

Duru za habari zasema kuwa kisa cha ushambuliaji wa risasi kimefanyika katika sherehe moja, iliyokuwa ikifanyika mjini Dallas, mahala ambapo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Vibonzo vya mtume:Wawili wauawa Texas

Polisi mjini Texas wamewaua watu wawili waliokuwa na silaha katika hafla moja ya uchoraji wa vibonzo vya mtume Mohammed.

 

10 years ago

GPL

POLISI WA TEXAS WAUA WAWILI WALIOSHAMBULIA HAFLA YA UCHORAJI VIBONZO VYA MTUME

Ofisa wa polisi akidumisha ulinzi eneo lilipotokea shambulio. Mwanausalama akiwatuliza watu waliohudhuria hafla hiyo baada ya shambulio. Rais wa kundi lililoandaa hafla hiyo la American Freedom Defense Initiative (AFDI), Pamela Geller akiongea na wanahabari.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu wawili wauawa Mandera

Watu wawili wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya wanajeshi kufyatulia risasi gari moja mjini Mandera katika hali isiyoeleweka, ripoti zinasema.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waandishi wawili wauawa Afghanistan

Waandishi wawili wa habari wanawake wa kigeni wameuawa nchini Afghanistan.

 

11 years ago

GPL

WAWILI WAUAWA KANISANI KENYA

Baadhi ya waumini wa Kanisa la Joy Jesus wakiwa nje ya kanisa baada ya shambulio hilo. WATU wawili wameuawa wakati wengine kumi wakijeruhiwa baada ya mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki kuwafyatulia risasi ndani ya kanisa la Joy Jesus huko Lokoni, karibu na Mombasa nchini Kenya. Maafisa wa polisi katika wilaya ya Likoni iliyopo kusini mwa Mombasa wamesema kuwa jambazi huyo alilivamia kanisa hilo na kuanza kuwafyatulia risasi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafaransa wawili wauawa Zanzibar

>Raia wawili wa Ufaransa wameuawa na kutumbukizwa katika kisima cha maji kilichomo ndani ya uwanja wa nyumba yao na watu wasiojulikana katika eneo la Shehia ya Matemwe Kaskazini, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu wawili wauawa Bujumbura

Watu wawili wameuawa katika mji mkuu wa Burundi, Bujumbura kufuatia makabiliano makali ya risasi Jumanne Usiku

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wawili wauawa Marekani

Maafisa wawili wa polisi mjini New York Marekani wameuawa kwa kupigwa risasi walipokuwa ndani ya gari lao eneo la Brooklyn.

 

10 years ago

Habarileo

Wawili wauawa kwa kipigo

Kamanda wa Polisi Tarime Rorya, Lazaro MambosasaWATU wawili wameuawa kwa kipigo wilayani Tarime mkoani Mara, akiwemo mwanamke, aitwaye Suzan Bhoke (34), raia wa Kenya aliyekuwa akiishi kimapenzi na Eddy Clement, mkazi wa Kitongoji cha Forodhani katika mji mdogo wa Sirari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani