Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vibonzo vya mtume:Wawili wauawa Texas

Polisi mjini Texas wamewaua watu wawili waliokuwa na silaha katika hafla moja ya uchoraji wa vibonzo vya mtume Mohammed.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

POLISI WA TEXAS WAUA WAWILI WALIOSHAMBULIA HAFLA YA UCHORAJI VIBONZO VYA MTUME

Ofisa wa polisi akidumisha ulinzi eneo lilipotokea shambulio. Mwanausalama akiwatuliza watu waliohudhuria hafla hiyo baada ya shambulio. Rais wa kundi lililoandaa hafla hiyo la American Freedom Defense Initiative (AFDI), Pamela Geller akiongea na wanahabari.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Vibonzo vya mtume Uholanzi

Mwanasiasa wa mrengo wa kulia nchini Uholanzi Geert Wilders anasema kuwa atapeperusha picha za vibonzo vya kumhusu mtume Mohammed katika kituo cha runinga cha taifa nchini Uholanzi hii leo.

 

10 years ago

Vijimambo

Wawili wauawa Texas

Polisi mjini Texas
POlisi mjini Texas wamewapiga risasi watu wawili kwa kuwashambulia polisi na risasi

Polisi mjini Texas wanasema kuwa wamewapiga risasi na kuwaua watu wawili waliokuwa na silaha, waliowashambulia walinda usalama kwa risasi, walipofika katika eneo la hafla moja yenye utata ya uchoraji wa vibonzo vya kuwakejeli waislamu na mtume Mohammed.

Duru za habari zasema kuwa kisa cha ushambuliaji wa risasi kimefanyika katika sherehe moja, iliyokuwa ikifanyika mjini Dallas, mahala ambapo...

 

5 years ago

Michuzi

MWONGOZA VIBONZO VYA TOM NA JERRY AFARIKI DUNIA

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MCHORAJI na mwongozaji wa vibonzo vya panya (Tom) na paka (Jerry) Eugene Merrill Deitch amefariki dunia ghafla akiwa na umri wa miaka 95 huko nyumbani kwake Prague mchapishaji wake Peter Himmel ameieleza The Associated Press.
Imeelezwa kuwa Eugene aliyezoeleka kuitwa Gene ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya Oscar alifariki dunia ghafla siku ya Alhamisi usiku akiwa katika makazi yake.
Gene ameongoza sehemu zipatazo kumi na tatu za vibonzo vipendavyo na watoto ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wawili wauawa Marekani

Maafisa wawili wa polisi mjini New York Marekani wameuawa kwa kupigwa risasi walipokuwa ndani ya gari lao eneo la Brooklyn.

 

10 years ago

Habarileo

Wawili wauawa kwa kipigo

Kamanda wa Polisi Tarime Rorya, Lazaro MambosasaWATU wawili wameuawa kwa kipigo wilayani Tarime mkoani Mara, akiwemo mwanamke, aitwaye Suzan Bhoke (34), raia wa Kenya aliyekuwa akiishi kimapenzi na Eddy Clement, mkazi wa Kitongoji cha Forodhani katika mji mdogo wa Sirari.

 

11 years ago

GPL

WAWILI WAUAWA KANISANI KENYA

Baadhi ya waumini wa Kanisa la Joy Jesus wakiwa nje ya kanisa baada ya shambulio hilo. WATU wawili wameuawa wakati wengine kumi wakijeruhiwa baada ya mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki kuwafyatulia risasi ndani ya kanisa la Joy Jesus huko Lokoni, karibu na Mombasa nchini Kenya. Maafisa wa polisi katika wilaya ya Likoni iliyopo kusini mwa Mombasa wamesema kuwa jambazi huyo alilivamia kanisa hilo na kuanza kuwafyatulia risasi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafaransa wawili wauawa Zanzibar

>Raia wawili wa Ufaransa wameuawa na kutumbukizwa katika kisima cha maji kilichomo ndani ya uwanja wa nyumba yao na watu wasiojulikana katika eneo la Shehia ya Matemwe Kaskazini, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani