Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri- Simu marufuku kwa wanafunzi sekondari

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imepigilia msumari kwa kuendelea kuwazuia wanafunzi wa shule za sekondari za serikali za bweni na kutwa kumiliki simu za mkononi wakiwa shuleni na yule atakayekamatwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

SMZ :Marufuku wanafunzi kurejeshwa nyumbani kwa ada

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar,  Zahra Ali Hamad SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imewataka walimu wakuu kuacha tabia ya kuwasumbua na kuwarudisha shule wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kulipa ada ya mwaka.

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Membe atoa somo kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Tusiime

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Tusiime kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa ambapo wanafunzi hao walipata nafasi ya kumuuliza maswali na kuyajibu kabla hajafungua maabara ya sayansi na maktaba na mahafali ya tano ya kidato cha sita ya shule hiyo. Wengine wanaoonekana ni wageni alioambatana nao na walimu wa Tusiime.WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, Akisikiliza...

 

10 years ago

Mwananchi

Simu zinavyoshawishi mapenzi kwa wanafunzi

Tangu teknolojia ya mawasiliano ya simu za mkononi ilipoingia nchini, mambo mengi katika jamii, ukiwamo mfumo mzima wa maendeleo na namna ya kuishi, yamebadilika.

 

11 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI NJOMBE CHINI YA ULINZI KWA MBINU YA KULIPUA MBWENI

Wanafunzi hao wakiwa chini ya ulinzi wa polisi kabla ya kupelekwa kituo cha polisi.Bweni linalodaiwa kuchomwa na wanafunzi hao.Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Njombe, Fulgence Ngonyani (wa pili kushoto) akionyeshwa jinsi bweni lilivyoteketezwa kwa moto huku akiwa na askari wake. Wanafunzi hao wakiingizwa katika gari la polisi.

 

10 years ago

Michuzi

TANGA CEMENT YATOA SOMO LA UPANDAJI MITI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI YA ROSMINI

 Meneja Mawasiliano na Mahusiano ya Nje  wa Tanga Cement,Bi. Mtanga Noor (kulia) akiwa na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari  Rosmini ya mjini Tanga wakishiriki zoezi la kupanda miti katika hafla iliyoandaliwa na kampuni ya Saruji Tanga ikiwa na lengo la kutoa elimu kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira na elimu kwa vitendo kuhusu namna bora ya kupanda miti. Miti 316 ilipandwa katika hafla hiyo iliyofanyika Pongwe mkoani Tanga jana.  Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari  Rosmini...

 

11 years ago

Bongo5

Ni marufuku kwa wanafunzi kupigana busu kwenye chuo kikuu cha Zimbabwe

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Zimbabwe hawaruhisiwi kupigana mabusu. Hiyo ni moja ya sheria kali kwenye chuo hicho. Uongozi wa chuo hicho umedai kuwa wanafunzi watakaokutwa kwenye pozi la kimahaba watachukuliwa hatua za kinidhamu. “Katika umri huu kusema siruhusiwi kumbusu au kumkumbatia mtu.. haiingii akilini,” mwakilishi wa wanafunzi wa chuo hicho, Tsitsi Mazikana aliiambia BBC.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Matumizi ya simu kwa wanafunzi chanzo mmomonyoko wa maadili’

MATUMIZI ya simu kwa wanafunzi shuleni ambayo yamekuwa chanzo cha mmomonyoko wa maadili kwao, yanaweza kudhibitiwa endapo wamiliki wa shule, walimu na wazazi watasimamia sheria zitakazosaidia kuwabana wanafunzi kumiliki simu....

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI, EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE SEKONDARI YA WAVULANA YA ENGUTOTO WILAYANI MONDULI WAKATI ALIPOTEMBELEA LEO.

 Lowassa ambaye alirejelea kauli yake ya kwamba yeye si tajiri bali ni tajiri wa marafiki, alichangia shilingi milioni tatu kwa ajili ya sare za shule kwa wanafunzi ambao nguo zao ziliteketea. 
Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP, Reginald Mengi akichangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda na Kampuni ya A to Z ikichangia ujenzi wa mabweni mawili yaliyo ungua moto hivi karibuni.Mmiliki wa kiwanda kikubwa cha A to Z cha Arusha,Anoji Shah (aliesimama) akiwaeleza wanafunzi wa shule...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani