Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Matumizi ya simu kwa wanafunzi chanzo mmomonyoko wa maadili’

MATUMIZI ya simu kwa wanafunzi shuleni ambayo yamekuwa chanzo cha mmomonyoko wa maadili kwao, yanaweza kudhibitiwa endapo wamiliki wa shule, walimu na wazazi watasimamia sheria zitakazosaidia kuwabana wanafunzi kumiliki simu....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

KwanzaJamii

MKAPA: MMOMONYOKO WA MAADILI KWA VIONGOZI WA UMMA UNATISHA

Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa, amesema tatizo la mgongano wa maslahi miongoni mwa viongozi na watumishi wa umma ni tatizo ambalo Tanzania inakabiliana nalo hivi sasa. Kadhalika, amesema licha ya serikali kufanikiwa katika kuhakikisha maadili nchini yanazingatiwa, bado lipo tatizo ambalo limeonekana kutopewa uzito unaostahili. Alisema hayo jijini Dar es Salaam jana wakati akifungua warsha ya kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa sheria mpya ya kudhibiti mgongano wa maslahi miongoni mwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mmomonyoko wa maadili, maendeleo ya Tanzania yetu

Kadiri miaka inavyozidi kwenda ongezeko la mmomonyoko wa maadili kwa watumishi wa umma limekuwa tishio kwa maendeleo ya Taifa letu kiuchumi, kisiasa na kijamii.

 

10 years ago

Mwananchi

Mmomonyoko wa maadili ni zao la jamii ovu

Askari watatu wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kagera wamefukuzwa kazi kwa kosa la kufanya vitendo vinavyokiuka maadili. Askari hao walipigwa picha wakibusiana huku wamevaa sare za jeshi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mmomonyoko wa maadili kufikisha vijana katika hatua mbaya ya kudharau

DSC06344

Katibu wa CCM wilaya ya Ikungi,Aluu Segamba, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Puma kwa ajili ya Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Sixtus Raphael Mapunda kuzungumza na wananchi.

DSC06388

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana (UVCCM) Taifa, Sixtus Raphael Mapunda akitema cheche katika mkutano huo wa hadhara.

DSC06412

Mkazi wa kijiji cha Puma tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Seleman Nkhomee, aliuliza swali kuwa ni lini CCM itaanza kuwalipa posho mabalozi wa...

 

11 years ago

GPL

MATUMIZI SAHIHI YA SIMU KWA WENYE MICHEPUKO

JAMAA zangu wengi sana wanapata taabu kwa sababu ya simu. Kidude hiki ambacho kinatakiwa kitupunguzie shida katika maisha chenyewe ndicho kimekuwa shida kubwa. Mtu unakuwa huna raha kabisa shauri ya kidude hiki why? Jamani why? Kuna hii ishu ya kuwa na michepuko, kimsingi hili jambo ni gumu kumalizika, kwa hiyo sihangaiki kuwaambia watu waache, huko ni sawa na kukataza jua lisizame pia hayanihusu. Mtu anakuwa na mchepuko wake, na...

 

10 years ago

Michuzi

Meya Manispaa ya Tabora apandishwa kizimbani Baraza la Maadili kwa matumizi mabaya ya madaraka na kutoa Tamko la uongo la mali zake.

Na. Ally Mataula – Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Meya wa Halmashauri Manispaa ya Tabora Mhe. Gulam Hussein Dewji Remtullah amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili kujibu tuhuma zinazomkabili. Akisoma hati ya malalamiko mbele ya Mwenyekiti wa Baraza hilo Mhe. Jaji (Mst.) Hamisi Msumi, Mwanasheria wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Bw. Hassan Mayunga alilieleza Baraza hilo kuwa Mlalamikiwa akiwa Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora kwa makusudi kabisa alikiuka...

 

10 years ago

Mwananchi

Nani anajali matumizi ya vyakula bora kwa wanafunzi shuleni?

Sanura Bushiri (jina sio lake) anasoma darasa la nne katika Shule ya Msingi ya Majani ya Chai iliyopo Manispaa ya Ilala mkoani Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Simu zinavyoshawishi mapenzi kwa wanafunzi

Tangu teknolojia ya mawasiliano ya simu za mkononi ilipoingia nchini, mambo mengi katika jamii, ukiwamo mfumo mzima wa maendeleo na namna ya kuishi, yamebadilika.

 

10 years ago

Habarileo

Waziri- Simu marufuku kwa wanafunzi sekondari

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imepigilia msumari kwa kuendelea kuwazuia wanafunzi wa shule za sekondari za serikali za bweni na kutwa kumiliki simu za mkononi wakiwa shuleni na yule atakayekamatwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani