Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri ahimiza vyuo kuzalisha wataalamu

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa,amevitaka vyuo vya ufundi kuhakikisha vinawaandaa wataalamu ili nchi ijiendesha kwa viwanda, hasa kwa wakati huu ambapo rasilimali nyingi zinagundulika kama vile gesi, mafuta na madini .

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Ukusanyaji takwimu Afrika yatakiwa kuzalisha wataalamu wake

Wataalamu wa Takwimu katika nchi za Afrika wametakiwa kutumia utaalamu walionao kuzalisha wataalam vijana watakaoleta mabadiliko kwa kutumia teknolojia mpya ya sayansi.

Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Albina Chuwa amesema nchi za Afrika zikikosa wataalamu wa ndani wataalam kutoka nje watachukua nafasi ya kukusanya takwimu bila kuzingatia hali halisi ya Afrika.

 

Mkurugenzi wa Takwimu, Albina Chuwa anasema njia zinazotumika kwa  sasa katika kufanya tafiti za takwimu zinatumia bilioni...

 

9 years ago

Michuzi

WATAALAMU WATEMBELEA VYANZO VYA MAJI YA MABWAWA YA KUZALISHA UMEME

Timu ya wataalam kutoka Wizara ya Nishati na Madini,Wizara ya kilimo, mifugo na Uvuvi ,Wizara ya maji, na Umwagiliaji , Shirika l Umeme Tanzania (Tanesco) pamoja na Watalamu wa bonde la Mto Rufiji wametembelea vyanzo vya maji vinavyotiririsha maji katika mito inayomwaga maji kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme wa maji ikiwemo Mtera, Kihansi na Kidatu ili kuunganisha nguvu ya pamoja na kurejesha vyanzo hivyo katika hali yake ya awali kutokana na kuathiriwa na shughuli za kibinadamu na hivyo...

 

5 years ago

CCM Blog

BABA WA UZAO AHIMIZA WAUMINI KUZALISHA MALI, ASEMA KANISANI SIYO MAHALA PA WENYE SHIDA NA MATATIZO NA KUSUBIRI MIUJIZA

TEGETA, Dar es Salaam
Kanisa Halisi la Mungu Baba limeonyesha kuwa miongoni mwa Taasisi za Kijamii ambazo zimeendelea kuunga mkono mwito wa Rais Dk. John Magufuli wa kuwataka Watanzania kuacha hofu dhidi ya Corona, badala yake wachape kazi za kujenga uchumi huku wakiendelea kuchukua thadhari tu dhidi ya ugonjwa huo.

Katika kuonyesha kuunga mkono mwito huo wa Rais, Kanisa hilo limekuwa likihamasisha waumini wake kufanyakazi za uzalishaji kila mmoja katika nafsi yake na kisha kuwakutanisha kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Mama Kikwete ahimiza wanafunzi wa kike wa vyuo vya ualimu kuvaa mavazi ya heshima

Na Anna Nkinda - Maelezo,  Nachingwea
Wanafunzi wa kike wa vyuo vya ualimu nchini wametakiwa kuvaa mavazi  nadhifu  yanayoendana na maadili ya kazi yao  ili wanafunzi na jamii inayowazunguka ijifunze  kutoka kwao kwani wao ni kioo cha jamii.
Mwito huo umetolewa  hivi karibuni  na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na baadhi ya wanafunzi wa kike  wa chuo cha Ualimu Nachingwea mara  baada ya kumalizika kwa futari aliyoiandaa kwa ajili ya viongozi wa wilaya iliyofanyika  chuoni...

 

5 years ago

Michuzi

Sekta ya Madini kuzalisha mamilionea – Waziri Biteko

Na Greyson Mwase, Dodoma
Waziri wa Madini Doto  Biteko amesema kuwa Serikali kupitia Wizara ya Madini  kwa kushirikiana na Tume ya Madini inaendelea kuhakikisha inawawezesha wachimbaji na wafanyabiashara wa madini ili waweze kuwa mamilionea huku Serikali ikipata mapato yake kutokana na kodi mbalimbali na kuinua Sekta ya Madini.
Waziri Biteko aliyasema hayo leo tarehe 12 Machi, 2020 kwenye ziara ya Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini iliyofanyika katika machimbo ya mawe ya nakshi Ntyuka, Soko...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA JNHPP

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Kaimu Mhandisi Mkazi, Injinia Lutengano Mwandambo, wakati akikagua hatua za utekelezaji wa mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha Megawati 2,115, unaojengwa na kampuni ya Yapi Merkezi, May 14, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)










Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Waziri wa Nishati Dkt. Medad Kalemani, wakati alipokagua hatua za utekelezaji wa mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP)...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA POLISI KUACHA KUZALISHA MAHABUSU MAGEREZANI

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kuangalia aina ya makosa ya watuhumiwa ambayo yana dhaminika ili kupunguza mlundikano wa mahabusu Magerezani.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukagua miradi ya maendeleo ya Jeshi la Magereza na baadaye kuzungumza na Maafisa na Askari wa Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dodoma, leo, Simbachawene alisema Jeshi hilo linakabiliwa na changamoto ya idadi kubwa ya mahabusu ukilinganisha na wafungwa waliopo...

 

5 years ago

Michuzi

Timu ya Wataalamu Yakamilisha Utekelezaji Maagizo ya Waziri


Sehemu ya Kiwanda (Kinu) cha Mzee Kisangani cha Kuyeyushia Madini ya Chuma kabla ya kupelekwa Kiwandani kwa ajili ya kutengeneza zana za Kilimo.Baadhi ya Wataalam wakiwa juu ya “Kinu” walikopatiwa maelezo na Mzee Kisangani (wa mwisho) kuona namna kinavyofanya kazi. Wa kwanza ni DKt. Yohana Mtoni (NDC), Prof. Sylivester Mpanduji (SIDO), Prof....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Waziri Simba ahimiza upimaji afya

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sofia Simba, amewataka watanzania kuwa na tabia ya kupima afya mara kwa mara ili kuepuka magonjwa yanayoweza kutibiwa katika hatua za awali....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani