Waziri akorogwa Tanzanite One
WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene ameuagiza uongozi wa Kampuni ya Tanzanite One inayomiliki kwa ubia na serikali mgodi wa kitalu C kuhakikisha unawatimua kazi raia wa kigeni 30 wenye asili ya Kiasia walioajiriwa kufanya kazi hapo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo17 Aug
Waziri ataka ushirikiano Tanzanite One
WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene ameagiza ushirikiano wa kutosha kwa maofisa watatu wa Shirika la Madini nchini (Stamico) waliopo katika mgodi wa Tanzanite One ili kupata matokeo chanya kwa maslahi ya Taifa.
9 years ago
Vijimambo28 Sep
Tanzanite: The hidden treasure of Tanzania We arrive at Tanzanite One on a cool September morning.
![](http://in2eastafrica.net/wp-content/uploads/2015/09/tanzanite.jpg)
The global tanzanite market is only worth $50m
The drive from the nearest town, Arusha, was not too long, but the last stretch on a gravel road littered with ditches made the hairs on the back of my neck stand up.
Once we got to the mine, we were given an induction and a quick briefing on the safety rules. After that we were off to the actual shaft, where we were allocated overalls, helmets and yellow plastic boots.
When I saw the contraption that would carry us 460 metres (yards) below ground,...
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Maskini Tanzanite
10 years ago
Habarileo07 Apr
Tanzanite One kujenga hospitali
KAMPUNI ya Tanzanite- One Limited ambayo hivi karibuni ilichukuliwa na wawekezaji wa ndani iko katika mchakato wa kujenga hospitali mpya kwa ajili ya wakazi wa mji wa Mirerani.
11 years ago
Habarileo18 Jul
Tanzanite za bil 10/- zaibwa
WATU wanaosadikiwa ni majambazi wamepora madini ya tanzanite ya Kampuni ya TanzaniteOne ya Mirerani, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara yenye uzito wa kilo 40 na thamani ya zaidi ya Sh bilioni 10.
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Tanzanite yawafuata Basetsana
MSAFARA wa wachezaji na viongozi wa timu ya taifa ya wanawake chini miaka 20 ‘The Tanzanite’ unatarajiwa kuondoka nchini leo kwa ndege ya Fast Jet kwenda Afrika Kusini kwa mechi...
9 years ago
Bongo514 Nov
Music: Tanzanite — Singeli
![Tanzanite](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Tanzanite-225x194.jpg)
Huu ni wimbo mpya wa msanii Tanzanite unaitwa “Singeli”. Ni wimbo wenye mahadhi ya kiswahi,Producer Mo Fire
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
TheCitizen19 Nov
Why TZ not getting rightful tanzanite receipts
10 years ago
TheCitizen24 Apr
Give more to Tanzanite hero