Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri mkuu wa India kustaafu siasa

Waziri mkuu wa India, Manmohan Singh, amesema hatasalia katika wadhifa huo ikiwa chama chake kitashinda uchaguzi mkuu ujao

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS NA WAZIRI MKUU WA INDIA WAMPOKEA RASMI RAIS KIKWETE IKULU YA INDIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Waziri Mkuu wa India, Mheshimiwa Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu ya India kwa sherehe za ukaribisho wake rasmi nchini India kwa ajili ya ziara yake ya Kiserikali. Sherehe hizo zimefanyika asubuhi ya leo, Ijumaa, Juni 19, 2015. Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, Waziri Mkuu wa IndiaMheshimiwa Narendra Modi, na Rais Wa IndiaMheshimiwa Pranad Mukherjee wakiwa katika...

 

10 years ago

Habarileo

Nilipanga kustaafu siasa 2015 -Magufuli

Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa Chato mkoani Geita jana. (Picha na Adam Mzee wa CCM).MGOMBEA urais mteule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema kama si kuombwa kuwania urais, alipanga kuachana na siasa mwaka huu, kwani alijiwekea lengo la kuachana na ubunge baada ya kuwa mbunge wa Chato kwa miaka 20 sasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Rajiv Gandhi: Waziri Mkuu wa kwanza kijana India

Rajiv Ratna Gandhi, alikuwa Waziri Mkuu wa sita wa India kutoka mwaka 1984 hadi 1989. Ghandhi alikuwa Waziri Mkuu kijana katika historia ya India, akichukua nafasi hiyo kutoka kwa mama yake, Indira Gandhi.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MSTAAFU CLEOPA MSUYA ASTAAFU SIASA ,JK AMPONGEZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akiwa viongozi wengine wakuu wa serikali chama cha Mapinduzi CCM, akiwemo Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana (kushoto) katika hafla ya kumuaga aliyekuwa Waziri mkuu wa Tanzania mara mbili katika awamu mbili tofauti, Mzee Cleopa David Msuya (wa kwanza kulia kwa Rais) ambaye amestaafu rasmi siasa baada ya kuitumikia kwa zaidi ya miaka 33.  Katibu wa CCM, wilaya ya Mwanga, akisoma historia fupi ya Mzee Msuya kabla...

 

10 years ago

Ykileo

WAZIRI MKUU INDIA ATAKA SULUHU ZA USALAMA MTANDAO KWA WANA TEHAMA

Baada ya miaka 25 ya mafanikio nchini india katika sekta ya TEHAMA, Waziri mkuu wa nchi hiyo amezitaka sekta za TEHAMA kuboresha usalama wa mitandao ili kukabiliana na wimbi la uhalifu mtandao kwa kuwa na ubunifu madhubuti wa njia sahihi za kukabiliana na uhalifu mtandao nchini India.


Waziri mkuu Huyo mhe. Narendra Modi, Ameyazungumza hayo alipokua akizungumza na wana TEHAMA Nasscom, Waziri mkuu huyo alizungumza na kusema dunia nzima imekua ikiangazia macho maswala ya usalama mitandao na...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apokea ujumbe kutoka kwa Waziri Mkuu wa India Narendra Modi

 Mjumbe maalum wa Waziri Mkuu wa India Narendra Modi ambaye pia ni Waziri wa nchi anayeshughulikia Maendeleo ya Ujasiriamali Mhe.Shri Rajiv Pratap Rudy akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete barua yenye ujumbe kutoka kwa kiongozi huyo wa India ikulu jijini Dar es Salaam   Mjumbe maalum wa Waziri Mkuu wa India Narendra Modi ambaye pia ni Waziri wa nchi anayeshughulikia Maendeleo ya Ujasiriamali Mhe.Shri Rajiv Pratap Rudy akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete barua yenye...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATOA NENO KWA VIONGOZI VYA VYAMA VYA SIASA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu ni vema viongozi wa vyama vya siasa nchini wakaonesha mfano wa kuendesha siasa za kistaarabu zenye lengo la kuwaunganisha watanzania na siyo kuwatenganisha.

“Hivyo basi, tudumishe utulivu, amani, mshikamano pamoja na ustaarabu wetu wa Kitanzania katika kipindi chote cha kampeni na Uchaguzi Mkuu ili kulifanya Taifa letu kuendelea kuwa kisiwa cha amani na mfano wa kuigwa barani Afrika na duniani kwa ujumla.”

Waziri Mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani