WAZIRI MWAKYEMBE AIOMBA JWTZ KUENDELEA KUWEKEZA KWENYE MICHEZO IKIWEMO GOFU
Na Luteni Selemani Semunyu
Waziri wa Habari utamaduni sanaa na Michezo Dr Harrison Mwakyembe amesema Serikali itahakikisha inatafuta ufumbuzi wa changamoto wa Uhaba na Ubovu wa viwanja Vya Mchezo wa Golf hapa Nchini na kuliomba Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kusaidia kukabiliana na Changamoto hiyo
Wazirii Mwakyembe alisema hayo jana wakati akifunga mashindano ya mchezo wa gofu ya TANAPA Lugalo Open yaliyofanyika katika Viwanja vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania vya Lugalo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
Waziri Mwakyembe Apokea Ujumbe wa Wadau wa Michezo toka Nchini Misri

Kiongozi wa ujumbe toka nchini Misri akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) wakati ujumbe huoulipomtembelea Waziri Mwakyembe katika ofisi ndogo jijini Dar es Salaam mapema hii leo na kujadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo ya sekta ya michezo ikiwemo la ujenzi wa eneo changamani la michezo.

Balozi wa Misri nchini, Mhe. Gaber Mohamed Abulwafa akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison...
9 years ago
GPL
YALIYOMO KWENYE GAZETI LA UWAZI MIZENGWE: MWAKYEMBE WAZIRI MKUU
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
China na Tanzania kuendelea kushirikiana katika Sanaa za michoro, ikiwemo ya Tingatinga
Balozi wa China nchini Tanzania Dr. Lu Younq ing akiongea na baadhi ya wasanii wa sanaa ya uchoraji wa Tingatinga katika hafla ya utoaji wa Tuzo la Mashindano ya Kimataifa ya Uchoraji wa Tingatinga Tanzania iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zimetolewa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. Tuzo hizo zimetolewa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. (Picha na Benjamin Sawe- WHVUM)
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi....
5 years ago
Michuzi
WAZIRI MPINA AWATAKA WAWEKEZAJI NCHINI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA USINDIKAJI WA MAZIWA
SERIKALI imezitaka Halmashauri zote nchini kuzingatia bei elekezi ya chanjo ya mifugo na atakayekaidi hatua kali za kisheria na kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina leo jijini Dodoma wakati akihitimisha wiki ya Maziwa duniani ambapo ametumia nafasi hiyo kuwataka wenye viwanda vya kusindika maziwa kuongeza uzalishaji zaidi.
Waziri Mpina ametumia nafasi hiyo pia kuiagiza Bodi ya Maziwa na Wadau wote wa maziwa...
11 years ago
Dewji Blog17 May
Balozi Seif Ali Iddi aiomba IFAD kuendelea kuwaunga mkono wazalishaji katika sekta ya kilimo Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi kwenye chakula maalum cha usiku walichoandaliwa wajumbe wa Bodi Tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Kilimo { IFAD } hapo Serena Hoteli Shangani Mjini Zanzibar.
Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo { IFAD }umeombwa kuendelea kuunga mkono Sekta ya Kilimo Zanzibar katika njia ya kuwajengea uwezo wazalishaji wa Sekta hiyo mama ya uchumi kupitia mfumo wa Teknolojia ya kisasa.
Ombi hilo...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMETOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA KUTENGEZA BARAKOA NA VITASA MKONO, SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO


11 years ago
Dewji Blog17 Aug
Mwili wa kichanga wakutwa umefukiwa kwenye gofu Songea
Kamanda wa polisi mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela.
Na Nathan Mtega wa Demashonews, Songea.
Pamoja na kuwepo kwa harakati na utetezi kuhusiana na haki za watoto ikiwemo ya kuishi lakini bado wilayani Songea mkoani Ruvuma kumeendelea kuwepo kwa vitendo vya ukatili dhidi ya watoto vinavyoambatana na utupaji wa watoto wachanga.
Vitendo hivyo ni pamoja na kitendo kilichotokea jana katika mtaa wa Lizaboni mjini Songea ambapo mwili wa mtoto mchanga anaedaiwa kuwa na umri wa miezi sita ulikutwa...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola yakaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow
.jpg)
.jpg)
.jpg)