Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mwakyembe tayari ndani ya Bunge la Afrika Mashariki leo January 29

Waziri Harrison Mwakyembe akila kiapo ndani ya Bunge la Afrika Mashariki, Arusha.Siku chache zimepita tangu yatangazwe mabadiliko madogo ndani ya Baraza la Mawaziri Tanzania.Aliyekuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amehamishwa na kwa sasa ni Waziri wa Uchukuzi wakati Waziri Harrison Mwakyembe aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi kabadili kwenye nafasi ya Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki.Leo kuna taarifa kwamba Waziri huyo ameapishwa katika Bunge hilo Arusha na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki limefunguliwa leo jijini Dar

Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda akihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) la kwanza kufanyika Dar es Salaam, tangu utaratibu wa kufanyika kwa bunge hilo kwa mzunguko kwa kila nchi mwanachama wa Jumuiya. Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Margaret Zziwa akizungumza kwenye ufunguzi wa bunge hilo. Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda (kushoto) akiwa na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Margaret Zziwa wakati wa ufunguzi wa vikao vya...

 

10 years ago

Habarileo

Upatikanaji wabunge wa Afrika Mashariki ubadilishwe-Mwakyembe

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Harison Mwakyembe.WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe, amependekeza mfumo wa kupata wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, ubadilishwe.

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NDANI YA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd, Bungeni Mjini Dodoma, leo Machi 10,2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd (kushoto), Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Stephen Wasira (kushoto)  na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba (kulia) wakijadili jambo… ...

 

10 years ago

Michuzi

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA Makamu Mwenyekiti ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya

Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akimkaribisha Makamu Mwenyekiti  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya Mhe. Chris Nakulelu kabla ya kufanya nao mazungumzo katika ukumbi wa mkutano wa Spika.Mhe.Nakululu alikuwa kiongozi wa msafara huo.Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akifurahi jambo na Makamu Mwenyekiti  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya Mhe. Chris Nakulelu wakati wa mazungumzo yao katika ukumbi wa mkutano wa Spika.Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa katika...

 

11 years ago

Michuzi

BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUFANYA KIKAO CHAKE CHA BUNGE KARIMJEE JIJINI DAR

Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa  akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es Salaam leo juu ya mkutano wa kwanza wa Bunge la tatu unaotaraji kuanza leo katika ukumbi wa Karimjee na kufunguliwa na Rais Jakaya Kikwete kesho kutwa.  Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Bunge la Afrika Mashariki kufanya kikao chake cha Bunge Karimjee Dar, JK kuufungua rasmi kesho

Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa  akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es Salaam  juu ya mkutano wa kwanza wa Bunge la tatu ulioanza jana katika ukumbi wa Karimjee na kufunguliwa rasmi na Rais Jakaya Kikwete kesho.

1

Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la...

 

11 years ago

Michuzi

WABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO

Mwenyekiti wa Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wa Tanzania, Adam Kimbisa, akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka Spika wa Bunge hilo. Kulia ni mbunge wa bunge hilo, Twaha Taslima na Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji. Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka...

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Afrika Mashariki lavunjika

 Bunge la Afrika Mashariki (Eala) limeanza kuonekana kufanana na Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma.

 

10 years ago

BBCSwahili

Spika Bunge ,Afrika Mashariki aondoshwa

Spika wa Bunge la jumuiya ya Afrika mashariki Bi Margaret Nandongo Zziwa amesimamishwa kazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani