Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Nchemba awabeza viongozi washirikina

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba amesema viongozi wanaokimbilia kwa waganga wa kienyeji kwa lengo la kupata madaraka wameishiwa kisera, kiimani na kwamba hawajiamini, hivyo kamwe hawawezi kukubalika kwenye jamii na wasitegemee kupata nafasi wanazohitaji bila kumtanguliza Mungu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kusanyeni kodi za majengo-Waziri Nchemba

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amezitaka halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji kuongeza mapato kwa kukusanya kodi za majengo badala ya kukimbizana na wafanyabiashara ndogondogo na wajane.

 

10 years ago

Habarileo

Malasusa: Waumini wengi washirikina

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk Alex Malasusa akiongoza ibada ya Pasaka katika Kanisa la Azania Front, Dar es Salaam jana.(Picha na Fadhili Akida).MATUKIO ya ukatili dhidi ya walemavu wa ngozi, vikongwe na watu wa makundi mengine ya kijamii nchini, yametajwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na hofu na kutojiamini kwa baadhi ya watu, hivyo kujikuta wakitumia nguvu za ziada kutaka kufanikisha mambo yao, badala ya kumtegemea Mungu.

 

9 years ago

Global Publishers

Waziri Nchemba Afanya Ziara Ya Kushtukiza Usiku Machinjioni Dar

Mwigulu (1)Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza na viongozi wa machinjio ya Vingunguti – Dar mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo.Mwigulu (2)…akipewa maelekezo
Mwigulu (3)…akikagua machinjio hayoMwigulu (4) Mwigulu (5) WAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba usiku wa kuamkia leo amefanya ziara ya ghafla na ya kushtukiza katika machinjio ya nyama Vingunguti jijini Dar es Salaam. Katika ukurasa wake rasmi wa twitter, Mwigulu amesema kuwa lengo la ziara yake hiyo lilikuwa ni...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba aifagilia UTT Microfinance

 Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wakuu wa Taasisi ya kifedha ya UTT Microfinance, baada ya kukata utepe kuzindua taasisi hiyo, Dar es Salaam jana. Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Bw. Mwigulu Nchemba (wa pili kushoto), akikata utepe kuzindua rasmi Taasisi ya huduma za Kifedha ya UTT Microfinance, Dar es Salaam jana. Wa pili Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi Balozi Fadhili Mbaga na Mtendaji Mkuu wa UTT, Bw. James Washima (kushoto).Naibu ...

 

9 years ago

Mwananchi

Waziri Nchemba aingilia kati mapigano ya wakulima, wafugaji Mvomero

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba ameiagiza kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Mvomero kuimarisha ulinzi maeneo yote yenye migogoro kufuatia kutokea  mapigano kati ya wakulima na wafugaji na kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa.

 

9 years ago

MillardAyo

Maneno 18 ya Waziri Mwigulu Nchemba baada ya kugundua upotevu wa kodi machinjio ya Vingunguti..

Picha zimeenea mitandaoni zikimuonesha Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck Nchemba akiwa kwenye ziara katika machinjio maarufu ya ng’ombe pamoja na mbuzi iliyopo eneo la Vingunguti Dar es Salaam. Baada ya ziara hiyo Waziri Nchemba ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Twitter >>> ‘Machinjio- Vingunguti usiku huu,hatua za awali nakutana na upotevu wa kodi […]

The post Maneno 18 ya Waziri Mwigulu Nchemba baada ya kugundua upotevu wa kodi machinjio ya Vingunguti.. appeared first...

 

10 years ago

Vijimambo

Askofu wa KKT Afunguka juu Ya Waumini Wengi Kuwa WASHIRIKINA



Matukio ya ukatili dhidi ya walemavu wa ngozi, vikongwe na watu wa makundi mengine ya kijamii nchini, yametajwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na hofu na kutojiamini kwa baadhi ya watu, hivyo kujikuta wakitumia nguvu za ziada kutaka kufanikisha mambo yao, badala ya kumtegemea Mungu.Hayo yamebainishwa kwenye Ibada ya Sikukuu ya Pasaka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front na Mkuu wa kanisa hilo, Askofu Dk Alex Malasusa.
Alisema hofu na kukosa uhakika ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani