Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA DKT. MWIGULU AWASILI OFISINI

Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba akikaribishwa Ofisini na Katibu Mkuu Wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Ernest Mchome.

Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba Kushoto kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Ernest Mchome, Kulia kwake ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dr. Adelardus Kilangi, pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Amoni Mpanju

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA. CHATO MKOANI GEITA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Mei 03, 2020.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , ,...

 

5 years ago

CCM Blog

TANZIA: WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MH. BALOZI DKT. AUGUSTINE MAHIGA AFARIKI DUNIA...RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anasikitika kutangaza kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mbunge) kilichotokea leo alfajiri tarehe 01 Mei, 2020 Jijini Dodoma.

Mhe. Balozi Mahiga ameugua ghafla akiwa nyumbani kwake Jijini Dodoma na amefikishwa hospitali akiwa tayari ameshafariki dunia.
Mhe. Rais Magufuli ametoa salamu za pole kwa familia ya Marehemu, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job...

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria aripoti ofisini

KM Tarishi 1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Maimuna Tarishi ambaye amehamishiwa Wizarani hapo kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni akisaini kitabu mara baada ya kuripoti katika ofisini jana Jumatatu, Novemba 10, 2014.

KM Tarishi 2

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Maimuna Tarishi (kulia) ambaye amehamishiwa Wizarani hapo kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni akifurahi na watumishi wa Wizara hiyo, Bi. Joyce Mtuma...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KATIBA NA SHERIA ARIPOTI OFISINI KWAKE LEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Maimuna Tarishi ambaye amehamishiwa Wizarani hapo kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni akisaini kitabu mara baada ya kuripoti katika ofisini leo (Jumatatu, Novemba 10, 2014). Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Maimuna Tarishi (kulia) ambaye amehamishiwa Wizarani hapo kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni akifurahi na watumishi wa Wizara hiyo, Bi. Joyce Mtuma...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ATINGA OFISINI KWA WAZIRI MKUU MAJALIWA

 Rais  Dkt.John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe.  Majaliwa Kassim Majaliwa  wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja. Rais John Pombe Joseph Magufuli akitia saini  kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dar es salaam leo Novemba 26, 2015  na kuzungumza nae kwa takribani saa mojaRais John Pombe Joseph Magufuli akiagana  na Waziri Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani