‘Wazungu wa unga’ wanolewa panga
Siku za wauza unga sasa zinahesabika baada ya Tume ya Kudhibiti Dawa za Kulevya kuvunjwa rasmi na chombo kingine kitakachokuwa na mamlaka ya kuchunguza, kukamata, kupekua, kuteketeza na kuwapeleka mahakama kikitarajiwa kuundwa hivi karibuni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi27 Dec
Askofu: Msimtwishe Magufuli mzigo wa wauza ‘unga’
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Hii ndio hukumu kwa Mnigeria aliyenaswa na ‘unga’ Malaysia..
Kumekuwa na nchi nyingi zikijitahidi kupambana na ishu ya dawa za kulevya Duniani, nchi nyingine imefikia mpaka hatua ya kuweka sheria kali ili kudhibiti kabisa kuingizwa na matumizi ya dawa hizo. Kwenye list ya nchi ambazo zinatajwa watu wake wengi kukamatwa kwa dawa za kulevya, Nigeria nayo imo !! stori za Wanigeria wengi kutajwa na […]
The post Hii ndio hukumu kwa Mnigeria aliyenaswa na ‘unga’ Malaysia.. appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Saa 48 alizozitoa Waziri wa Magufuli kwa Wauza ‘Unga’…(+Pichaz)
Waziri wa mambo ya ndani Charles Kitwanga amefanya ziara ya ghafla leo Dec 16 2015 katika makambi mbalimbali ya Jeshi la Polisi na kutoa amri kwa viongozi wa jeshi hilo siku mbili za kuhakikisha amepata taarifa kuhusu udhibiti wa dawa za kulevya. “Wapo wajanja wana mbinu nyingi, lakini hawawezi kutuua. Na mimi hili ni jambo nitalivalia […]
The post Saa 48 alizozitoa Waziri wa Magufuli kwa Wauza ‘Unga’…(+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Uingereza walivyoamua kujenga maeneo ya kuvutia ‘unga’.. ndio kusema wamehalalisha?
Mapambano ya dawa za kulevya yako kila kona duniani… najua kukutana na kichwa cha habari kwamba kuna nchi eti wameamua kuwajengea kabisa vibanda vya kuvutia dawa za kulevya ni kitu ambacho kinaweza kukushtua, lakini habari iko hivyo !! Kuna ripoti za watu wenye majina makubwa duniani kuripotiwa kufariki kwa kuzidisha dawa za kulevya… hizo ripoti zipo […]
The post Uingereza walivyoamua kujenga maeneo ya kuvutia ‘unga’.. ndio kusema wamehalalisha? appeared first on...
10 years ago
Mwananchi26 Jul
Wanahabari wanolewa habari za uchaguzi
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Wachoma nyama Arusha, Kilimanjaro wanolewa
KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), kupitia kinywaji chake cha Safari Lager kimetoa mafunzo kwa wachoma nyama kutoka baa mbalimbali za Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha ikiwa ni maandalizi ya mashindano...
11 years ago
Habarileo28 Jun
Watumishi wa mahakama wanolewa mfumo wa kompyuta
WATUMISHI wa Idara za Mahakama wakiwemo Mahakimu na Makarani wa Wilaya za Bukombe na Kahama juzi wamepata mafunzo kutoka mfumo wa karatasi kwenda katika mfumo kwa Kompyuta (JSBS) kwa lengo la kukuza ufanisi katika maeneo yao ya kazi waliopo.
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Polisi wanolewa Uchaguzi Mkuu wa 2015
5 years ago
MichuziWATUMISHI WA KADA YA WALINZI WIZARA YA ELIMU WANOLEWA