WEMA KIBOKO
![](http://api.ning.com:80/files/pM3ABSV3WVWAKI6hZD7YDvhJFVsptWj96XLl-gNwpVlQBK05wmHXLe5BjGrfou5UON9rg3IjpLC9iTUkmpISQrZvTTOlm4yY/wema.jpg?width=650)
Stori: Mwandishi Wetu WEMA Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ ameonesha ni kiboko katika sekta ya urembo baada ya kuibuka kidedea kwenye shindano bab’ kubwa la kumsaka staa wa kike Bongo mwenye mvuto ‘Ijumaa Sexiest Girl 2013-14’. Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’akikabidhiwa tuzo ya ‘Ijumaa Sexiest Girl 2013-14’ na msanii Nikki wa Pili. Fainali za shindano hilo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper08 Jul
Magufuli ni kiboko
NA EVA-SWEET MUSIBA, BUNDA.
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli amepunguza bei ya kivuko cha MV Mara kutoka sh. 2,000 hadi sh. 500 kwa mtu mmoja.
Magufuli pia ameamuru kivuko hicho kisiwatoze nauli wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wanapokuwa wamevaa sare za shule.
Waziri huyo wa ujenzi alitoa agizo hilo jana baada ya kukizindua kivuko kipya cha MV Mara, kitakachoanza kufanya safari zake kutoka kijiji cha Mugala-Kwiramba wilaya ya Bunda kwenda Majita-Kurugee wilayani Butiama.
Kivuko...
9 years ago
Mwananchi09 Oct
‘Ulimwengu, Samatta kiboko’
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Kiboko mbilikimo azaliwa Australia
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Yanga yasajili kiboko ya Niyonzima
Mshambuliaji, Issofou Boubacar.
Wilbert Molandi,
Dar es Salaam
KATIKA usajili wa dirisha dogo uliofikia tamati Desemba 15, mwaka huu, Yanga imesajili wachezaji wawili tu, straika Paul Nonga na kiungo mshambuliaji, Issofou Boubacar ili kujiimarisha.
Haruna Niyonzima.
Lakini jana Ijumaa asubuhi katika mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Boko Veterani, Yanga ilianza kumfanyia majaribio kiungo Sina Jerome aliyetokea Rayon Sports ya Rwanda.
Yanga inafanya hivyo ili kujiridhisha kuhusu uwezo wa...
10 years ago
BBCSwahili08 Sep
Nyama ya Kiboko yawaletea maafa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*piqzknvDeSKQkPil*nHOw4BFGFXJhlJy8pwWBa-Ip*RGlcf8**qfAAth7PbYlp96Lo-WDcP-eXlR8G20CkfRIh/dengua.jpg)
JUISI YA MAJANI YA PAPAI: KIBOKO YA DENGUE
10 years ago
Bongo522 Oct
New Music: Mwana FA f/ Alikiba — Kiboko Yangu
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Kiboko cha fedha za wahisani kituzindue
10 years ago
Mwananchi14 Dec
Masanduku ya kura, kiboko ya vyama vikongwe