WEMA KUBADILI WANAUME, CHANZO NI HIKI
![](http://api.ning.com:80/files/Sh7zTInlQpu3i1sjfQTcC3uyJPT-0l-fxHOARxU0SKhj4P4eexrmLi1UourozTXyD3vHIkb8*zxOcZSJsNF6aP6*0p*QPt*7/wema.gif?width=650)
Mwandishi wetu IMEBAINIKA! Kufuatia tabia yake ya kubadili wanaume, mrembo asiyeishiwa matukio Bongo, Wema Isaac Sepetu imefahamika kuwa chanzo cha yote ni kusumbuliwa na ugonjwa ujulikanao kitaalamu kwa jina la Sex Maniac. SOMA ZAIDI ====>http://bit.ly/1IhuNja
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
Hiki ndicho chanzo cha Ukawa
SEHEMU ya misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano, ya 1977, inasema: “Kwa kuwa sisi wananchi wa
Joseph Mihangwa
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Hiki ndicho chanzo cha umaskini kwa wanawake
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Chanzo mauaji ya mapanga mkoani Geita hiki hapa
9 years ago
Bongo Movies17 Nov
Chanzo Lulu Kutodumu na Wanaume Chatajwa
Ubuyu! Licha kujaliwa umbo matata na mvuto wa aina yake, staa wa Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’, anadaiwa kutodumu na mwanaume, Ijumaa Wikienda limetajiwa chanzo cha hali hiyo.
Kwa mujibu wa sosi wa ndani wa familia ya staa huyo, chanzo kikubwa cha Lulu kutodumu na mwanaume anayempata kama mwandani wake ni mama yake, Lucresia Karugila.
Ilidaiwa kwamba, kama ilivyokuwa kwa Wema Sepetu zamani, mama yake, Miriam Sepetu alidaiwa kumwekea ‘patroo’ mrembo huyo kwa kumchagulia mwanaume wa...
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
PSI: Wanaume chanzo saratani ya mlango wa uzazi
WANAUME wametajwa kuwa chanzo kikuu cha wanawake kupata ugonjwa wa saratani ya mlango wa uzazi ambayo imekuwa tishio kwa sasa. Mshauri wa Shirika lisilokuwa la kiserikali la PSI-Tanzania, Dk. Mashafi...
10 years ago
Habarileo23 Aug
‘Wanaume wasiotahiriwa chanzo cha saratani ya shingo ya kizazi’
IMEELEZWA kuwa wanawake wanaopata ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi kwa kiasi kikubwa inatokana na kufanya mapenzi na wanaume ambao hawajatahiriwa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ugvao0mAfe6*4EXzscZ-bZYArN6vGsyfiWzlkBu7-f31JDtlFdb4dR9vLDWlk1o7OLzFpCovC1zSQ6-JBs2vylNNY1nG5JSA/kajala.jpg?width=650)
KINACHOWAPONZA WEMA, KAJALA HIKI HAPA!
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Hiki Ndicho Alichokisema Meninah Kuhusu Wema na Kajala
Mrembo na Staa wa Bongo Fleva, ambae nyota na jina lake lilianza kusikika Kupitia shindano la Bongo Star Search (BSS), Meninah La Diva amesema angekuwa na uwezo angewapatanisha mastaa wawili wa Bongo Movies , Wema Sepetu na Kajala Masanja ambao alisema kuwa anawependa sana.
Meninah aliyasema hayo leo alipokuwa akifanya mahojiano na mtangazaji Millard Ayo kwenye c kipindi cha Amplifaya, alipoulizwa kuwa angekuwa na uwezo angewapatanisha mastaa gani ambao wamegombana au hawaelewani kwa namna...