Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema:Jamani Nikiwa Bungeni Sitaongea Hivyo

Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye ametangaza nia ya kugombea nafasi ya ubunge wa viti maalumu Singida,amesema anafurahishwa na kitendo cha mashabiki wake kumwigiza sauti akiwa bungeni kwa  kuwa wameonyesha kumkubali kabla hajafika ‘Mjengoni’.

Alisema sauti hiyo inayomuigiza alitumiwa kupitia simu yake na haikumkwaza zaidi ya kufurahia  kwamba watu wengi wanakubali awe bungeni.

“Nafurahi kwa kuwa wengi wameshanipeleka bungeni wakati mimi ndiyo kwanza nipo katika harakati  za kuomba...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena

LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,

 je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??

 

Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema

 

“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”

 

Kwanza kabisa...

 

11 years ago

GPL

PICHA CHAFU ZA WEMA, DIAMOND ZATINGA BUNGENI

Stori: Mwandishi Wetu
Sakata la mastaa wakiwemo Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupiga picha chafu kisha kuzitundika mitandaoni limetinga bungeni baada ya juzikati baadhi ya wabunge kulishupalia. Mastaa Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ wakiwa kwenye pozi la kimahaba Hilo liliibuka Suzi mjengoni katika kipindi cha maswali na majibu ambapo Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Saidi Mtanda alitaka...

 

11 years ago

CloudsFM

WEMA,AUNTY NA SHILOLE WALIPULIWA BUNGENI KUWA NI VINARA WA KUVAA NGUO ZISIZO ZA MAADILI

Ukiukwaji wa maadili ni sehemu ya kilio cha jamii ya watanzania na tayari kilio hicho kimeifikia serikali ambayo imechukua hatua za awali ya kuwaonya watu wanaofanya tabia hizo.Naibu Waziri wa habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Juma Nkamia ameeleza hatua ambazo wizara hiyo imechukua katika kukomesha ukiukwaji wa maadili unaofanywa hasa katika kumbi za starehe.Akijibu swali lililoulizwa na mbunge Catherine Magige, Nkamia amesema kuwa serikali imefanya vikao na wamiliki wa kumbi za starehe,...

 

10 years ago

GPL

HAWAENDANI, LAKINI NDIYO HIVYO TENA!

Aunt Ezekiel na Moze Iyobo. NImtazamo wa wengi kuwa baadhi ya mastaa ambao wapo kwenye uhusiano hawaendani kabisa kutokana na muonekano wao, tabia zao na hata fani zao kuwa tofauti. Kuna mastaa wa Bongo na wa Mamtoni ambao mapenzi yao yalivyoanza yaliwashtua watu mbalimbali na wengine kudai hayafiki mbali huku wale wanaotazamiwa kuendana kwa kila kitu wakimwagana vibaya mfano, Diamond Platnumz na Wema Sepetu, Rihanna na Chris...

 

10 years ago

Mwananchi

Membe: Nikiwa Rais Nyerere atafurahi

>Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, ametangaza rasmi nia ya kuutaka urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015 akisema anatosha na kwamba Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere huko aliko atafurahi endapo atakuwa rais.

 

11 years ago

Mwananchi

Nililala nikiwa naona, nikaamka na upofu

>“Wengi wetu tunaishi bila kujiuliza maswali kama; “Itakuwaje iwapo siku nitaamka nikiwa sina uwezo wa kuona tena? Hatujiulizi maswali kama haya kwa sababu tunavichukulia vitu muhimu kuwa vya kawaida tu.”

 

9 years ago

Bongo5

Faiza ajizushia kifo, aeleza kwanini alifanya hivyo

Faiza Ally

Faiza Ally hufanya kile akili yake inamtuma na ndio maana hivi karibuni alijizushia kifo chake mwenyewe na kusababisha tafrani kubwa.

Faiza Ally
Faiza Ally akiwa mwenye machozi

Kipitia ukurasa wake wa Facebook, aliandika: Faiza Ally kafa akiwa anatoka location

Akizungumzia sababu ya kuandika ujumbe huo, Faiza ameiambia Bongo5 kuwa alifanya hivyo baada ya kukasirishwa na madirector wa filamu yake mpya ambao wamekuwa wakimsumbua.

“Niliamua tu kuandika kuwa nimekufa,” amesema. “Hawa director wangu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani