WENGI TUMEINGIA ‘CHOO CHA KIKE’, TUMEPENDA PASIPO NA PENZI!
![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtGggrqU25Fz3mr7FX9t0FkneNO0tCyvVD0tTqGbWyyejQbYvWZDawEKr-tXzhqOzmSKcdYjq3D-oqoMJNDPMHof/mahaba.jpg)
Niwiki nyingine tulivu tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku.Kwa wale wenzangu Waislam naamini watakuwa wameisherehekea Sikukuu ya Idd kwa furaha na amani. Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita kama utakuwa na kumbukumbu nzuri niliandika mada iliyokuwa inahusu jinsi unavyoweza kusherehekea sikukuu wakati mpenzi wako akiwa mbali na wewe. Ni mada...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Kukosa Choo: Tatizo sugu linalowatesa wengi
10 years ago
Bongo Movies24 Jan
Davina Akiri Kuwa Waigizaji Wengi wa Kike Wanajiuza!!!
Muigizaji mkongwe wa filamu na moja kati ya waasisi wa Kaone Sanaa Group, Halima Yahya ‘Davina’ amekiri kuwa ndani ya tasnia yao, kuna waigizaji wengi wa kike wanajiuza kwa maslahi yao binafsi.
Akipiga stori na paparazi wa GPL, Davina alisema wasanii wanaofanya hivyo ni wale wasio na nia ya dhati, wapo kwenye tasnia kwa ajili ya kuuza sura na kujinadi kwa mapedeshee.
“Tatizo ni kwamba wasanii tumekutana kila mmoja ana tabia zake na ni ngumu kujua undani wa mtu kwa kumtazama mara moja,...
11 years ago
Habarileo21 Mar
Akutwa amekufa choo cha kulipia
MFANYABIASHARA wa mboga mkazi wa Magomeni, Dar es Salaam, Jamhuri Ally (53) amekutwa amekufa ndani ya choo cha kulipia eneo la Kisutu, katikati ya Jiji la Dar es Salaam.
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Uzuri, ubaya wa choo cha kukaa
BAADHI ya watu huwa hawapendi kujadili mambo yanayohusiana na kinyesi kwa kudai ni jambo la siri na aibu. Kwa wanadamu wote tunapozungumzia ‘choo’ huwa tuna maana ya kinyesi, ijapokuwa neno...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-uFXyvjPCVPo/VNcV1jR6PRI/AAAAAAAHCbg/eshgsCgQ__o/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
WANAKWAYA WA CENTRAL MIRERANI WAKABIDHI MSAADA WA MIFUKO 34 YA SARUJI KUJENGEA CHOO CHA SHULE YA ENDIAMTU
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yxqZN51jFu8/XlaKgOsYYFI/AAAAAAALfkE/Hq77cbPEG8QrIz_0hB7A9QN5r4J3RsIcQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WANAWAKE CHUO KIKUU MZUMBE WAKABIDHI JENGO LA CHOO CHA WAVULANA SHULE YA MSINGI MZUMBE
Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa Machi 8 kila mwaka, Jumuiya ya Wanawake ya Chuo Kikuu Mzumbe wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo wamekabidhi choo cha Wavulana kwa shule ya msingi Mzumbe baada ya kukifanyia ukarabati.
Akizungumza kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Chuo wakati wa hafla ya makabidhiano, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Fedha na Utawala Prof. Ernest Kihanga, ameipongeza Jumuiya ya Wanawake wafanyakazi wa Chuo Kikuu...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/vGIqgJFLr1Q/default.jpg)
11 years ago
Habarileo31 May
Wahitimu wa kike kidato cha 6 bado wachache
IDADI ya wahitimu wa kike wa kidato cha sita ni ndogo kuliko wahitimu wa kiume na serikali imekuwa ikifanya juhudi za makusudi kukabiliana na changamoto hizo, kupandisha uwiano wa wanafunzi wa kike na kiume vyuoni kwa asilimia 50 kwa 50.
5 years ago
BBCSwahili10 Mar
Ellie na Nele: Wabadili jinsia kutoka ya kike hadi kiume na kurejesha ya kike tena