Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wengi wanaathirika na vumbi la mkaa wa mawe

Na Albano Midelo “Kwa miaka minne mfululizo maelfu ya tani za mkaa wa mawe umekuwa unasombwa na maji  toka katika kijiji changu cha Ndumbi hadi ndani ya ziwa Nyasa,wananchi wanatumia maji hayo kwa ajili ya kunywa’’,anasema mwenyekiti wa kijiji cha Ndumbi wilayani Nyasa mkoani Ruvuma James Mbawala Alisema kampuni ya mkaa wa mawe ya TANCOAL ambayo inachimba mkaa wa mawe katika eneo la Ngaka wilayani Mbinga ndiyo inayoitumia bandari ya Ndumbi ziwa Nyasa kwa ajili ya kusafirishia mkaa wa mawe...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wengi wanaathiriwa na vumbi la mkaa

“Kwa miaka minne mfululizo maelfu ya tani za mkaa wa mawe yamekuwa yanasombwa na maji kutoka katika Kijiji cha Ndumbi hadi ndani ya Ziwa Nyasa, wananchi wanatumia maji hayo kwa ajili ya kunywa,’’ anasema Mwenyekiti wa kijiji hicho wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, James Mbawala.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Wengi wanaathirika na maji ya sumu

Chanzo cha maji Luhira ambacho wakulima wanafanya uchafuzi kwa kupulizia kemikali za sumu kwenye mashamba yao ya nyanya. Na Albano Midelo WATU wanaoishi katika Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma wapo katika hatari ya kukumbwa na magonjwa mbalimbali na hata kupoteza maisha kutokana na kutumia maji ya Mto Luhira ambao umechafuliwa kwa kemikali mbalimbali. Luhira ni chanzo cha Mto Ruhuhu ambao unamwaga maji yake Ziwa Nyasa. Mto Luhira unaanzia kwenye Milima ya Matogoro iliyopo nje kidogo ya Mji...

 

10 years ago

Mwananchi

Wengi wanaishi na mawe kwenye figo - Dk Akbar Zehri

Dar es Salaam. Hospitali ya Aga Khan imezindua kampeni ya kupima ugonjwa wa mawe katika figo, ikiwa ni baada ya kubaini kuwa Watanzania wengi wanaishi na maradhi hayo bila kujitambua.

 

11 years ago

Bongo5

Diamond na Wema wanaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram, wafahamu wengi 9

Power couple ya Tanzania, Diamond Platnumz na Wema Sepetu ndio inayoongoza kwa kuwa na followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram. Hii ni orodha kamili (July 31,2014) 1.Diamond Platnumz 183,205 2.Wema Sepetu 168,954 3.Elizabeth ‘Lulu’ Michael 129,047 4.Jokate Mwegelo 102,168 5.Millard Ayo 102,068 6.Jacqueline Wolper 99,545 7. Ommy Dimpoz 95,415 8.Aunty Ezekiel 94,379 9.Kajala 88,769 […]

 

9 years ago

Bongo5

Dar kuna wasanii wengi wakali ila wengi hawana nidhamu — Producer T-Touch

Miongoni mwa vitu vinavyoikamilisha ‘package’ ya msanii mzuri ukiachilia mbali kipaji ni pamoja na nidhamu ya kazi, pamoja na watu wanaomzunguka msanii wakiwemo mashabiki. Producer T-Touch amesema kuwa msanii bila kuwa na nidhamu ni ngumu kufanya vizuri hata kama ana kipaji. Akizungumza kupitia Planet Bongo ya EA Radio producer huyo aliyefanya hits ikiwemo ‘Muziki Gani’ […]

 

9 years ago

Mwananchi

Mkaa endelevu kuokoa mazingira

Dar es Salaam. Serikali ya Finland kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii, wameanzisha mradi wa mkaa endelevu utakaozalishwa kwa njia za kisasa wenye lengo la kupunguza uharibifu wa mazingira na kuongeza ajira.

 

10 years ago

BBCSwahili

Al-Shabaab waendeleza biashara ya mkaa

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imekishutumu kikundi cha Somalia cha Al Shabaab kwa kuendelea na biahara ya mkaa.

 

5 years ago

CCM Blog

MKAA MBADALA NI UKOMBOZI WA MAZINGIRA


Mbunifu wa mashine ya mkaa utokanao na vumbi la mbao pamoja na pumba za mpunga wa mkoani Singida, Joram Kishaluli akitoa mkaa uliotengenezwa kwa mashine maalumu.
Na, COSTECHTAARIFA ya Wizara ya Kilimo ya mwaka 2019 inaonesha kuwa, kwa miaka mitano iliyopita kuanzia msimu wa mwaka 2013/2014 hadi 2017/18, Tanzania imezalisha chakula kingi kuliko mahitaji yake.

Tathmini ililenga hali ya chakula, uzalishaji wa mazao ya chakula na usalama wa chakula hususani mazao muhimu yanayozingatiwa kama...

 

10 years ago

Habarileo

RC apiga ‘stop’ biashara ya mkaa

Dk Rajab RutengweMKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe, amewapa mwezi mmoja wakuu wa wilaya sita za mkoa, wahakikishe wanakomesha kuzagaa kwa biashara ya mkaa katika maeneo yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani