Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenye ulemavu wahimizwa kushiriki uchaguzi

MWENYEKITI wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mlandizi, Abdallah Kido, amewataka watu wenye ulemavu kuwa mstari wa mbele kushiriki kuchagua na kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali katika uchaguzi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wenye ulemavu wahimizwa kutojinyanyapaa

Balozi wa China nchini, Dk Lu Youging WANAFUNZI wenye ulemavu mbalimbali wanaosoma na kulelewa katika kituo cha shule ya msingi Mugeza Museto Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera wameshauriwa kutumia muda wao mwingi katika masomo ili kupata ufaulu mkubwa na kutojinyanyapaa kuwa wao ni tofauti na wengine.

 

10 years ago

Habarileo

Chadema wahimizwa kushiriki uchaguzi

Patrick ole SosopiMAKAMU Mwenyekiti Taifa kupitia Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), Patrick ole Sosopi ametoa wito kwa wanachama wa chama hicho, kushiriki kuchagua au kuchaguliwa katika chaguzi, zitakazofanyika nchini, ukiwemo wa Serikali za Mitaa.

 

10 years ago

Mwananchi

Wenye ulemavu watengewa mamilioni ya uchaguzi mkuu

Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya The Foundation for Civil Society (FCS), imetenga Sh 300 milioni kwa ajili ya kugharamia elimu ya uchaguzi mkuu kwa watu wenye ulemavu.

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE WENYE ULEMAVU WAELIMISHWA JUU YA UCHAGUZI

 Mkurungenzi Mtendaji wa kituo cha msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC) Theosia Nshala akuzungumza kwenye mdahalo na wanawake wenye ulemavu (TAMAWA) juu ya taratibu mbarimbari za Uchanguzi hususani hari za mwanamke katika Uchanguzi hapa nchini katika mdahalo uliofanyika  Jijini Dar es Salaam. Mwanaharakati na Mtaaramu wa Jinsia na Haki za Binadam Gema Akilimali, akuzungumza kwenye mdahalo na wanawake wenye ulemavu (TAMAWA) juu Kuwajengea wanawake ufahamu na ujasiri wa kushiriki katika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watu wenye ulemavu msibaki nyuma uchaguzi serikali za mitaa

DESEMBA 14 mwaka huu itakuwa siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini. Ratiba ya uchaguzi huo imekwishatolewa, na kuonyesha kwamba Novemba 23 ndio uandikishaji wa majina unaanza katika maeneo...

 

9 years ago

Vijimambo

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR, MAFUNZO YATOLEWA KWA WATU WENYE ULEMAVU PEMBA

Ofisa kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar ‘ZEC’ ofisi ya Pemba Suleiman Daud Mkasha ‘kushoto’ akiwasilisha mada katika mafunzo juu ya haki za watu wenye ulemavu kisiwani Pemba kuelekea uchaguzi mkuu, yaliyofanyika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa mkoa na kuandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC Pemba, na kulia ni mtoa mada Mohamed Hassan Ali kutoka ZLSC.Mtoa Mada kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Mohamed Hassan Ali, akiwasilisha mada katika mafunzo juu ya...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu  Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.

Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wahimizwa kushiriki mkutano mitaji ya ubia

WADAU wa sekta binafsi na maendeleo nchini wametakiwa kuhudhuria mkutano unaohusu mpango wa mitaji ya ubia (Venture Capital and Private Equity Investment Financing Industry in Tanzania) unaotarajiwa kufanyika Alhamisi jijini...

 

11 years ago

Habarileo

‘Tembeleeni wenye ulemavu Buhangija’

WAZAZI na walezi waliopeleka watoto wao katika kituo maalumu cha kulelea watoto wenye ulemavu Buhangija katika Manispaa ya Shinyanga, wameombwa kujenga desturi ya kuwatembelea watoto hao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani