Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenye ulemavu waingie mahabusu na magongo

Hili linawezekana? Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Elias Masamaki ametaka watu wenye ulemavu waruhusiwe kuingia na magongo mahabusu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu  Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.

Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...

 

11 years ago

Habarileo

‘Tembeleeni wenye ulemavu Buhangija’

WAZAZI na walezi waliopeleka watoto wao katika kituo maalumu cha kulelea watoto wenye ulemavu Buhangija katika Manispaa ya Shinyanga, wameombwa kujenga desturi ya kuwatembelea watoto hao.

 

10 years ago

Habarileo

Wenye ulemavu watoa ya moyoni

WATU wenye ulemavu wameomba vyama vya siasa kutowachanganya na wasio na ulemavu kwenye kura za maoni kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali za kisiasa kutokana na ugumu wanaopata katika kushinda nafasi hizo.

 

10 years ago

Habarileo

Wenye ulemavu waomba kusaidiwa

HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imeombwa kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwa ajili ya kusaidia manunuzi ya vifaa visaidizi kwa ajili ya watu wenye ulemavu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

90% wenye ulemavu hawana elimu

ZAIDI ya asilimia 90 ya walemavu wote wilayani Urambo, Tabora hawajasoma kutokana na mazingira duni ya kuipata elimu. Wilaya hiyo ina wenye ulemavu zaidi ya 900, kati yao watu 860...

 

10 years ago

Habarileo

Wenye ulemavu wahimizwa kutojinyanyapaa

Balozi wa China nchini, Dk Lu Youging WANAFUNZI wenye ulemavu mbalimbali wanaosoma na kulelewa katika kituo cha shule ya msingi Mugeza Museto Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera wameshauriwa kutumia muda wao mwingi katika masomo ili kupata ufaulu mkubwa na kutojinyanyapaa kuwa wao ni tofauti na wengine.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yapongezwa kujali wenye ulemavu

SHIRIKISHO la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), limempongeza Rais John Magufuli kwa kutimiza ahadi yake ya kuyajali na kuyapa kipaumbele masuala ya Watanzania wenye ulemavu kwa kuhamishia masuala yao chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa utekelezaji wenye tija.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wenye ulemavu wahimizwa kushiriki uchaguzi

MWENYEKITI wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mlandizi, Abdallah Kido, amewataka watu wenye ulemavu kuwa mstari wa mbele kushiriki kuchagua na kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali katika uchaguzi...

 

10 years ago

Habarileo

Wenye ulemavu wapongeza Katiba Inayopendekezwa

Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Amon Mpanju.WATU wenye ulemavu nchini wamepongeza Katiba pendekezwa na kuelezea kuwa ni mwanga wa walemavu wote nchini kupata haki zao za msingi huku wakitaka ikiwa mchakato wa Katiba utahairishwa masuala yote ya walemavu yaliyomo yaingizwe kwenye mabadiliko yatakayofanywa kwa Katiba ya sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani