Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wilaya zenye njaa Dom zapata chakula

WANANCHI wa mkoa wa Dodoma watanufaika na tani 1,050 za chakula zilizotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu ambazo zitauzwa kwa bei nafuu na nyingine kugawiwa bure katika kukabiliana na baa la njaa katika wilaya zake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

RIPOTI YA UKAGUZI: CCM, Chadema zapata hati zenye mashaka

>Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) vimepata hati zenye mashaka katika ukaguzi wa hesabu zake, uliofanywa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa kipindi cha mwaka wa fedha ulioishia Juni 2013.

 

10 years ago

StarTV

Serikali yatenga tani 13,630 kwa ajili ya chakula cha njaa.

Na Immaculate Kilulya,

Dar es Salaam.

 

Serikali imesema inaendelea na zoezi la usambazaji wa chakula cha njaa kwenye maeneo yaliyotathminiwa kuwa na upungufu wa chakula ambapo jumla ya tani 13,630 zimetengwa kwa ajili ya zoezi hilo na tayari tani 7,560 zimekwishasambazwa kwa walengwa.

 

Miongoni mwa mikoa hiyo ni pamoja na Arusha, Kilimanjaro, Simiyu, Manyara, Tabora, Mara, Kagera, Lindi, Mtwara, Morogoro, Singida na Katavi.

 

Uzalishaji wa mazao ya chakula katika msimu wa 2013/14 ulifikia...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mama Shujaa wa Chakula 2015 Caroline Chelele, akabidhiwa rasmi zawadi za vifaa vya kilimo zenye thamani ya Tsh Mil.20 Ifakara

Mshindi wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula Msimu wa nne Bi. Caroline Chelele aliyekaa kwenye Pawatila akifurahia zawadi zake, Muda mfupi baada ya kukabidhiwa.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilombelo Bw. Yahya Naiya (wa pili kushoto) aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Kilombelo akikata utepe kuashiria tukio la kumkabidhi zawadi rasmi mama shujaa wa chakula msimu wa nne 2015 Bi. Caroline Chelele, wa kwanza kushoto ni Mercy Minja Kaimu mkurugenzi wa wa mji wa Ifakara, wa tatu kutoka kulia ni...

 

9 years ago

StarTV

Wafanyabiashara wadogo Afrika Mashariki watakiwa kuongeza uzalishaji zenye bidhaa zenye ubora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewataka wafanyabiashara wadogo wadogo wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kukidhi soko la kimataifa la bidhaa hizo.

Rais Magufuli amesema endapo bidhaa zenye ubora zitazalishwa ndani ya Nchi hizo ,malalamiko ya mara kwa mara ya wafanyabiashara hao kuhusu masoko yatafikia ukomo kutokana na kuwa na wateja wengi  kutoka nchi mbalimbali Duniani.

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Said Meck...

 

5 years ago

Michuzi

WAKALA WA CHAKULA DAWA NA VIPODOZI WATOA ELIMU KWA MASHEHA WA WILAYA YA MJINI

Na Khadija Khamis
Mkurugenzi wa Wakala wa Chakula Dawa na Vipodozi  Zanzibar  Dkt. Khamis Ali Omar amewataka wananchi kujitahadhari na matumizi ya chakula na dawa  ambazo zimemaliza muda na vipodozi ambavyo havijathibitishwa  ili kuepuka maradhi yatokanayo na sumu .

Hayo aliyasema huko katika Ofisi ya Mkuu wa  Wilaya ya Mjini,  Sebleni wakati akitoa Mafunzo ya usalama wa chakula dawa na vipodozi  kwa Masheha wa Wilaya hiyo  na kuwataka ushirikiano wa pamoja ili kuhakikisha wanathibitisha ...

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI ZA MAAFA NGAZI ZA MIKOA, WILAYA NA VIJIJI ZASHAURIWA KUOMBA MBEGU BADALA YA CHAKULA CHA MSAADA

Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Mohamed Utaly akimkabidhi mkazi wa kijiji cha Kiegea, Bibi Sarah Matereka mbegu za mtama kwa ajili ya shamba lake kama mpango wa wilaya hiyo kuhamasisha wananchi wilayani humo kulima mazao yanayohimili ukame ili kukabili maafa ya njaa , wanaoshuhudia kushoto ni Mkurugenzi Idara ya uratibu maafa Ofsi ya Waziri Mkuu, Brig. Jen. Mbazi Msuya na katikati ni mbunge wa Jimbo la Mpwapwa, Mhe. George Lubeleje tarehe 31 Desemba, 2015. Mmiliki wa shamba la...

 

10 years ago

Vijimambo

SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA LAZINDULIWA RASMI NA MKUU WA WILAYA YA KISARAWE MH. SUBIRA MGALU KIJIJINI KISANGA

 Mgeni Rasmi katika Sherehe za uzinduzi Rasmi wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh. Subira Mgalu akizindua Rasmi Mashindano hayo katika kijiji cha Kisanga Mashindano yatakapofanyikia. Eluka Kibona, Meneja Utetezi na Ushawishi wa Oxfam akielezea kwa kina kuhusu Shindano la Mama Shujaa wa ChakulaDiwani wa Kata ya Masaki Mh. Pily Kondo Changuhi akiongea na Wakazi wa Kisarawe pamoja na wageni waalikwa katika Sherehe hizo za uzinduzi wa Shindano la Mama  Shujaa...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA MBEYA AONGOZA CHAKULA CHA HISANI KUCHANGIA UJENZI WA NJIA ZA KUPITISHIA WAGONJWA HOSPITALI YA MKOA WA MBEYA.


MKUU wa wilaya ya Mbeya Dk. Norman Sigallah King, juzi usiku aliwaongoza wakazi wa Jiji la Mbeya kwenye chakula cha hisani ya kuchangia ujenzi wa njia za kupitishia wagonjwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mbeya.

Mwenyekiti wa Kamati ya Marafiki wa Hospitali ya Mkoa wa Mbeya, Oleais Senga, Akimkaribisha mgeni rasmi

Baadhi ya wananchi waliohudhuria hafla hiyo





Subilaga Mwambeta Mkurugenzi AJ Technology moja ya wachangiaji wakubwa wa marafiki wa hospitali ya mkoa Mbeya

Lyimo M.L Meneja Beaco Resort

 

10 years ago

Mwananchi

Kampuni 51 zapata uwakala wa ajira

Wizara ya Kazi na Ajira imepokea maombi ya kampuni ya wakala wa huduma za ajira 87 kati ya hizo 51 zimepata usajili kwa kipindi cha mwaka mmoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani