Wizara kukabili uhalifu mitandaoni
WIZARA ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia imeandaa miswada ya sheria za matumizi salama ya mtandao ili kukabiliana na uhalifu kwa njia ya mtandao. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo01 Jan
Polisi kukabili uhalifu mwaka mpya
JESHI la Polisi limesema katika siku ya Sikukuu ya Mwaka mpya imejipanga katika mikoa yote nchini kuhakikisha vitendo vyote vya uhalifu vinadhibitiwa.
10 years ago
Habarileo11 Jun
Vijana waanzisha klabu kusaidia kukabili uhalifu
VIJANA zaidi ya 100 kutoka shule za sekondari za mjini Dodoma kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wamepaza sauti zao kupinga vitendo vya kiuhalifu.
10 years ago
Habarileo03 Apr
Jeshi la Polisi lajipanga kukabili uhalifu Pasaka
JESHI la Polisi nchini limewataka wananchi kujiepusha na vitendo vya uhalifu na kuwa makini na mali zao wakati huu wa sikukuu ya Pasaka.
10 years ago
Habarileo31 Dec
Polisi waomba CCTV Mji Mkongwe kukabili uhalifu
JESHI la Polisi Zanzibar limeitaka Serikali pamoja na taasisi binafsi sekta ya utalii kuangalia uwezekano wa kupatikana kwa huduma za kamera (CCTV) za kuchunguza matukio ya uhalifu katika maeneo ya Mji Mkongwe ili kupambana na vitendo hivyo ambavyo vinalipaka matope jina zuri la Zanzibar.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ha*i6Zw5Rmpz7vektD3yPO5JCWZAI4DXXGv2i6W7cQONZ*NZJIVGnmmzDjwubqr1Y5f5JEZQArUCPQko8pn7wTqWK*YGTurH/1.jpg?width=650)
WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUTHIBITI UHARAMIA MITANDAONI
10 years ago
Dewji Blog26 Feb
Push mobile, UN , Wizara kukabili ebola
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Push Mobile, Freddie Manento (kushoto) wakitiliana saini makubaliano ya ushirikiano wa kukabiliana na ugonjwa wa ebola kwa kutoa elimu kwa jamii kupitia ujumbe mfupi maneno katika hafla fupi iliyofanyika kwenye ofisi za Mratibu mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa jijini Dar. Anayeshuhudia tukio hilo ni Mwakilishi wa...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/FullSizeRender.jpg)
PUSH MOBILE, UN , WIZARA KUKABILI EBOLA
10 years ago
Habarileo02 Apr
Wahuni mitandaoni kubanwa
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imependekeza kwa Serikali iongeze adhabu ya faini kutoka Sh milioni tatu na kifungo kisichopungua miezi sita na kuwa faini ya Sh milioni tano na kifungo kisichopungua miezi sita kwa wale wote watakaotuma katika mtandao taarifa za uongo.
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
TZ:Vijana wanavyokomoana mitandaoni