TZ:Vijana wanavyokomoana mitandaoni
Nchini Tanzania baadhi ya vijana wamekuta picha zao wakiwa uchi zikienezwa katika mitandao ya kijamii
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Jan
‘Wachafuzi mitandaoni wabanwe’
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Tujihadhari na wizi mitandaoni’
Na Jamila Shemni, Dar es Salaam
SERIKALI na kampuni mbalimbali, zimeombwa kuhamasishwa ili kuwekeza zaidi katika ulinzi wa masuala ya usalama wa mitandao kama nyenzo kuu ya kuepukana na athari za uhalifu wa mitandao, kwani inarudisha nyuma mendeleo ya nchi na mataifa mengine.
Akizungumza na MTANZANIA mwishoni mwa wiki, mtaalamu wa masuala ya usalama mitandaoni, Yusuph Kileo, alisema mataifa mbalimbali duniani yameanza kujipanga kikamilifu kukabiliana na tatizo la uhalifu mitandaoni kwani...
10 years ago
Habarileo02 Apr
Wahuni mitandaoni kubanwa
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imependekeza kwa Serikali iongeze adhabu ya faini kutoka Sh milioni tatu na kifungo kisichopungua miezi sita na kuwa faini ya Sh milioni tano na kifungo kisichopungua miezi sita kwa wale wote watakaotuma katika mtandao taarifa za uongo.
10 years ago
Mwananchi26 Aug
Tutachangamkie fursa za matangazo ya mitandaoni
10 years ago
BBCSwahili29 Dec
Filamu ya Interview yatikisa mitandaoni
9 years ago
Mtanzania25 Nov
Magufuli gumzo mitandaoni Kenya.
NAIROBI, KENYA
KATIKA siku chache zilizopita, Rais Dk. John Magufuli amekuwa akitamba kwenye mitandao ya jamii nchini Kenya.
Habari zinasema wananchi wengi wazalendo wameonekana kuvutiwa na uchapakazi wake ndani ya wiki kadhaa tangu aliposhika madaraka.
Dk. Magufuli ameonyesha kutekeleza kaulimbiu yake ya ‘Hapa Kazi Tu’ ambayo sasa inafananishwa na ile ya ‘Kusema na Kutenda’ ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.
Kauli hiyo ya Kenyatta, Wakenya wameibadilisha kuwa ‘Kusema na Kutema’...
9 years ago
Mtanzania17 Oct
Rayuu wa mitandaoni na nyumbani ni tofauti!
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MAKUBWA! Mrembo anayetikisa kiwanda cha filamu nchini, Rahma Rayuu ‘Rayuu’ amesema maisha yake halisi na maisha anayoonyesha kwenye mitandao ya kijamii ni tofauti hivyo watu wanaodhani ndivyo alivyo wanakosea.
Akichonga na Swaggaz, Rayuu alisema kuwa amezoea kuweka mitandaoni picha zinazoonyesha mwili wake lakini kiuhalisia ni mtu mwenye maadili ambaye akiwa nyumbani huvalia hadi ushungi kujisitiri.
“Kwetu ni familia ya dini na nimekuwa kwenye mazingira hayo, kule...
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
Mitindo yashindana ukumbini na mitandaoni
10 years ago
BBCSwahili02 Apr
Harakati za kuupinga ugaidi mitandaoni