Tutachangamkie fursa za matangazo ya mitandaoni
Matangazo kwa njia ya mtandao ni matangazo yoyote yanayotangazwa kwa njia ya mtandao kwa ajili ya wateja.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--I0FqnOl0i8/VZOU1dM2D8I/AAAAAAAHmHQ/4EMmq8jci-0/s72-c/unnamed%2B%252834%2529.jpg)
Airtel Fursa Yatumia zaidi ya milioni 3 kumpiga tafu mjasiliamali mwingine - Airtel Fursa wiki hii kuwafaidisha mamia ya vijana Mwanza
![](http://4.bp.blogspot.com/--I0FqnOl0i8/VZOU1dM2D8I/AAAAAAAHmHQ/4EMmq8jci-0/s640/unnamed%2B%252834%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-NLAxHtDkgT4/VZOU4trpdDI/AAAAAAAHmHg/UKCqdnXBI8o/s640/unnamed%2B%252835%2529.jpg)
9 years ago
MichuziAIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI: Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa
10 years ago
Mwananchi15 Jan
‘Wachafuzi mitandaoni wabanwe’
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Tujihadhari na wizi mitandaoni’
Na Jamila Shemni, Dar es Salaam
SERIKALI na kampuni mbalimbali, zimeombwa kuhamasishwa ili kuwekeza zaidi katika ulinzi wa masuala ya usalama wa mitandao kama nyenzo kuu ya kuepukana na athari za uhalifu wa mitandao, kwani inarudisha nyuma mendeleo ya nchi na mataifa mengine.
Akizungumza na MTANZANIA mwishoni mwa wiki, mtaalamu wa masuala ya usalama mitandaoni, Yusuph Kileo, alisema mataifa mbalimbali duniani yameanza kujipanga kikamilifu kukabiliana na tatizo la uhalifu mitandaoni kwani...
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
TZ:Vijana wanavyokomoana mitandaoni
10 years ago
Habarileo02 Apr
Wahuni mitandaoni kubanwa
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imependekeza kwa Serikali iongeze adhabu ya faini kutoka Sh milioni tatu na kifungo kisichopungua miezi sita na kuwa faini ya Sh milioni tano na kifungo kisichopungua miezi sita kwa wale wote watakaotuma katika mtandao taarifa za uongo.
11 years ago
BBCSwahili09 Jun
Imarisha ulinzi wako mitandaoni
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Wizara kukabili uhalifu mitandaoni
WIZARA ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia imeandaa miswada ya sheria za matumizi salama ya mtandao ili kukabiliana na uhalifu kwa njia ya mtandao. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar...
10 years ago
BBCSwahili29 Dec
Filamu ya Interview yatikisa mitandaoni