Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara yataka vyama vijisajili upya

WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imetoa miezi mitatu kuanzia sasa kwa Vyama vya Kijamii kujisajili upya katika Daftari la Msajili wa vyama hivyo. Akizungumza na wandishi wa habari...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

TAWLA yataka vyama vya kutetea wanaume

CHAMA cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA), kimesema wakati umefika kwa wanaume kutoona haya na kuanzisha vyama vyao vya utetezi ili kuwasaidia wanaume wanaonyanyaswa kijinsia.

 

5 years ago

CCM Blog

UVCCM YATAKA VYAMA KUSHIRIKIANA KUKABILIANA NA CORONA

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, umeitaka jamii vikiwamo vyama vya siasa nchini kushikama na serikali ili kusaidia katika mapambano ya kutokomeza janga la virusi vya corona ambalo limeendelea kusumbua dunia.

Wito huo ulitolewa juzi jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa UVCCM wa mkoa huo, Mussa Kilakala wakati akikabidhi vifaa vya kujikinga na virusi hivyo kwa viongozi wa wilaya yakiwamo matenki kwa ajili ya kuhifadhia maji ya kunawia, sabuni, vitakasa...

 

10 years ago

Habarileo

Vyama vyataka mikataba Tanesco kupitiwa upya

Katibu Mkuu wa SAU, Ali Kaniki SERIKALI imetakiwa kupitia upya mikataba ya umeme ili kuwasaidia wananchi waweze kunufaika na miradi ya umeme inayozalishwa nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Wizara yalia na kodi ya vinyago, yataka isitishwe

Wizara ya Maliasili na Utalii, imetaka kusitishwa kwa kodi mpya ya vinyago ambayo imeanza kukusanywa hivi karibuni katika viwanja vya ndege kwa watalii wanaoondoka nchini.

 

9 years ago

Mwananchi

Wizara ya Afya yataka nyaraka za watoa tiba asili

Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewataka watoa huduma za tiba asili na tiba mbadala nchini kote kuhakikisha wanawasilisha, katika muda wa siku 14 kuanzia jana, nyaraka zote muhimu kuhusu huduma zao.

 

9 years ago

StarTV

Wizara ya elimu nchini yaombwa kuangalia upya mitaala ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

 

Wizara ya elimu nchini imeombwa kuangalia upya mitalaa ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili iwe na uhusiano na mazingira halisi ya Watanzania.

Elimu inayotolewa sasa imekuwa ikilalamikiwa kuwa haimwezeshi mwanafunzi kumudu mazingira yanayomzunguka na badala yake inamsaidia kufaulu kutoka darasa moja kwenda jingine.

Katika mkutano huo Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dokta Fidelis Mafumiko ameyasema hayo jijini Dar es salaam katika mkutano wa kufunga...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAFUTA VYAMA VYA KIJAMII 1,268

 Msemaji wa Wizara Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya ufutaji wa vyama vya kijamii vilivyoshindwa kuendesha pamoja na kushindwa kulipa ada, kushoto ni Mwanasheria wa wizara hiyo, Berious Nyasembwa.Waandishi wa habari wakifatilia taarifa ya Msemaji wa Wizara Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga leo jijini Dar es Salaam.Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.

Na Zainabu Hamisi, Globu ya Jamii.WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefuta vyama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani