WOLPER, JIFUNZE KITU MIJENGO YA WATU!
![](http://api.ning.com:80/files/vshXEK8U-ijQsAC-fxtGUOpK96QiJlIWgFBmtRJktoMa9O85MZmJagAisUNEy*GpFMdNPqrtN2VVSNdX3uKzUO*vTZhdRjoh/index.jpg?width=650)
Muigizaji wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper. KWAKO muigizaji wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper bila shaka u-mzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya kila siku.Nilisikia siku hizi hutaki tena kuigiza badala yake unatafutiwa biashara ya kufanya, hivi ni kweli? Kwa nini usiendelee na sanaa yako ambayo ndiyo imekufanya uwe maarufu? Ukitaka kujua hali yangu, mimi ni mzima wa afya. Naendelea na mishemishe zangu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!
"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.
Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...
10 years ago
Bongo Movies25 Jun
Wolper: Hakulaliki Nipo Tuu Natafakari Kitu Kinaitwa Kifo
Nimelala lakini hakulaliki nipo tuu natafakari kitu kinaitwa kifo, watu wa dini wanasema usilie bali uombe kwa Mungu apunguziwe adhabu ukilia unamuumiza sijui unamzidishia adhabu sasa mtu unaumia ufanyaje?
Jamani dah kifo bwana acheni tuu Mungu aitwe Mungu lakini pia silaumu ila naamini Mungu kafanya hivi ili pia tusijusahau natumkumbuke kuwa yeye yupo sasa ndugu zangu mliogombana mlioachana kimapenzi embu mtafute mwenzio msemezane tuu ata kwa salamu mkikutana ili akifa uweze kwenda...
10 years ago
Bongo511 Oct
Nora: Wema, Lulu, Wolper wanaweza, Batulli, Aunt Ezekiel, Chuchu Hans hamna kitu!
9 years ago
Bongo Movies29 Nov
Wolper Ajitapa Kukwapua Waume za Watu
MREMBO anayesukuma maisha yake kupitia sinema Bongo, Jacqueline Wolper amejitapa kuwa haoni tatizo kuchukua mume wa mtu kwani wanaoibiwa ni wadhaifu.
Akifafanua kauli yake, Wolper alisema, kumekuwa na malalamiko mengi ya mastaa wa kike kuhusu kuibiana mabwana kitu ambacho yeye anaamini kwamba kama ukiwa mbunifu huwezi kuibiwa, wanaoibiwa wasilalamike.
“Bibi eeeh acha waseme. Mimi nikikuibia bwana ujue nimekuzidi ujanja inabidi uwe tu mpole siyo kuanza kuchongachonga tu kwa watu,” alisema...
10 years ago
Bongo Movies20 Jan
Jumbe Nne Alizozidondosha Wolper Zawaacha Watu Njia Panda Mtandaoni!!!!
Mrembo na mwigizaji mwenye mvuto wa aina yake, Jackline Massawe “Wolper” toka jana amekuwa anaachia picha na jumbembalimbali mtandaoni zenye maneno mazito ambayo yamepelekea wengi kuhisi labda kuna kitu kimemkuta mwandada huyu na sasa ameamua kupunguzia” stree” zake mtandaoni, huku wengine wakamini kuwa hizi ni jumbe za kawaida tu na hakuna kinachomsibu.
Mrembo huyu alianza na hizi jana;
“Your enemy can be your friend and your best friend can be your worst enemy**rising”
“A true friend...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hnZ2zBlGGNXtfxVbu00jgKGlEr5G5J7U3oyp82Soo9ozz*0kuo4POTjbDdjhOcPqkymH5Lza2qGTYhQtVyQ-oL3NfpZ3PB0M/528544_2951739233590_1278213447_n.jpg?width=650)
WASANII WANAOMILIKI MIJENGO BONGO
10 years ago
Mwananchi18 Apr
Mastaa 10 wenye mijengo ya maana Bongo
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Baada ya Watu Kuponda, Huu Ndio Msimamo wa Wolper Kuhusu Kipini Chake Puani
“Wapenzi mnaotukana kisa nimevaa kipini kwa pua msipoteze muda hiko akitoki ndo kimeshafika zaidi nitakua tuu na badilisha leo cha njano kesho chekundu, why mnakua wagumu kuelewa kinipendeze kisinipendeze ni mimi so please msinijazie comment za zamatusi nakukosoa kwenye picha zangu kama nyie ndo wavaaji sitaki ushauri sitaki jamani pipo chilaaax me nakipini dam dam... in love with my kipini najikuta jacq khan mwenzenu kila nikijitizama....Am so soleee. Nawapenda sana napenda ushauri...
10 years ago
Bongo Movies09 Jan
Hapa na Pale:Wolper Amshukia “Bidada” Anaetumia Jina Lake Picha na Sauti Yake Kutapeli Watu
Dunia ya Utandawazi, watu wanavipaji jamani!!!!. Wolper amempasha huyu kama ifuatavyo;
“why why why unanichafulia jina we shuwainiiii mpumbavu mmoja maana kama unajua paka napokaa inamaana utakua ata insta uona kila kitu Mungu niokoe nilichokipanga kisifanikiwe nikakukamata mikononi mwangu nitafungwa kifungo cha maisha.. Alafu unaweka na picha yangu whatsup na sauti unageza yani sauti yangu kabisa muawaji mkubwa wewe fisi ,mende,peremende.Mungu akulaani wewe na kizazi chako tena kizazi...