Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


XCLUSIVE: Samata atoa sababu za kwenda kucheza soka ulaya



Credit;Shaffihdauda

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Fid Q kwenda kushoot video mpya nje ya nchi, atoa sababu za kwanini alikuwa hafanyi video

Fareed Kubanda a.k.a Fid Q amesema anatarajia kwenda nje ya nchi kushoot video yake mpya. Rapper huyo wa Rock City amesema amedhamiria kuanza kufanya video nzuri baada ya kukaa muda mrefu bila video nzuri au wakati mwingine kutofanya kabisa licha ya kutoa hits nyingi. “Nimedhamiria kufanya video nzuri, kwahiyo kiukweli nashindwa kusema itakuwa ni aina […]

 

10 years ago

GPL

CHUJI ATUA OMAN KUCHEZA SOKA

Kiungo mkongwe Athumani Idd ‘Chuji’. Na Richard Bukos KIUNGO mkongwe Athumani Idd ‘Chuji’, jana Alhamisi aliondoka nchini kuelekea Oman kukamilisha mipango ya kuichezea Oman FC ya nchini humo inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza. Chuji, akizungumza na gazeti hili dakika chache kabla ya kuondoka, akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, alisema amefarijika kupata timu nje...

 

10 years ago

Mwananchi

MTAZAMO: Tumewazuia watoto kucheza soka mitaani!

Tanzania kama jamii, tulikuwa tukishiriki katika michezo ya kikabila kabla ya kuja ukoloni.

 

11 years ago

Bongo5

Didier Drogba astaafu kucheza soka la kimataifa

Mshambuliaji wa Chelsea, Didier Drogba leo (Agosti 8) ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa na timu yake ya Ivory Coast, lakini ataendelea kuichezea timu yake ya Chelsea. Drogba mwenye miaka 36, aliichezea timu yake ya taifa michezo 104 na kufanikiwa kufunga magoli 60. “Kwa masikitiko makubwa nimechukua uamuzi kwa kustaafu soka la kimataifa” Drogba aliandika […]

 

9 years ago

Bongo5

TFF yamfungia Juma Nyoso kucheza soka kwa miaka miwili

Kamati ya uendeshaji ya ligi kuu Tanzania Bara iliyokutana September 29 kupitia ripoti mbalimbali za michezo iliyochezwa ya ligi kuu na ligi daraja la kwanza nchini, imemfungia nahodha wa Mbeya City, Juma Nyoso kucheza mpira wa miguu kwa kipindi cha miaka miwili. Pia imempiga faini ya shilingi milioni mbili kuafutia kitendo cha udhalilishaji alichomfanyia mchezaji […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Klopp akipigia mahesabu kikosi chake kufuzu kucheza ligi ya mabingwa Ulaya UEFA 2016!

klo

Klopp..

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kocha wa Liverpool, Judgen Klopp amesema ana wakati mgumu kuhakikisha anaipeleka timu yake ya Liverpool kucheza ligi ya mabingwa Ulaya UEFA baada ya kuiangushia kichapo cha mabao 4-1, timu ya Manchester City.

Kwa mujibu Chanzo cha mtandao wa Espnfc.com  Kocha Klopp amefunguka juu ya kikosi chake  hicho kilichong’ara kwenye mchezo huo wa mwishoni mwa wiki   ambapo ameeleza atahakikisha kila mchezo wanaocheza wanapata ushindi ili wazidi kujitengenezea wakati...

 

11 years ago

BBCSwahili

Timu ya soka ya Kenya kwenda Brazil

Sio kushiriki mechi yoyote bali kutazama michuano ya kombe la dunia. Ni zawadi waliyopokea kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta

 

5 years ago

CCM Blog

TETESI ZA SOKA ULAYA

Pierre-Emerick AubameyangHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionMshambuliaji wa Arsenal na Gabon Pierre-Emerick Aubameyang akifanya mashambulizi katika mechi dhidi ya BurnleyMshambuliaji wa Arsenal na Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, 30, alimuahidi marehemu babu yake kuwa atachezea Real Madrid. (Sun)Gunners pia wanakabiliwa na pigo jingine la kumkosa beki wa RB Leipzig wa miaka 21-Mfaransa Dayot Upamecano baada ajenti wake kusema kuwa huenda asihame kutokana na janga la coronavirus. (Sport 1, via Metro)Tetesi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Islamic State wasafirishwa kwenda Ulaya

BBC imefahamishwa kuwa wanamgambo wa Islamic State wanasafirishwa kwenda barani ulaya na walanguzi wa binadamu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani