Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHUJI ATUA OMAN KUCHEZA SOKA

Kiungo mkongwe Athumani Idd ‘Chuji’. Na Richard Bukos KIUNGO mkongwe Athumani Idd ‘Chuji’, jana Alhamisi aliondoka nchini kuelekea Oman kukamilisha mipango ya kuichezea Oman FC ya nchini humo inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza. Chuji, akizungumza na gazeti hili dakika chache kabla ya kuondoka, akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, alisema amefarijika kupata timu nje...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Chuji atua Azam

Hata hivyo, kiungo huyo mwenyeji wa Dodoma  ameibukia Azam FC na taarifa za ndani zinasema  klabu hiyo imempa mkataba mfupi wa miezi sita ili kumwangalia kwanza mwenendo wake na kama itajiridhisha  watamwongezea.

 

11 years ago

CloudsFM

ATHUMANI IDDI 'CHUJI' ATUA AZAM FC

Aliyekuwa kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' akiwa mzoezini na klabu bingwa ya Tanzania Bara, Azam FC asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Chuji akifanya yake leo mazoezini.

PICHA NA BINZUBEIRY

 

11 years ago

GPL

ATHUMANI IDDI 'CHUJI' ATUA AZAM FC

Aliyekuwa kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' akiwa mzoezini na klabu bingwa ya Tanzania Bara, Azam FC asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Chuji akifanya yake leo mazoezini. PICHA NA…

 

10 years ago

Michuzi

BINGWA WA KUCHEZA NA PIKIPIKI ATUA NCHINI LEO KUTOA BURUDANI COCO BEACH, DAR


MWANAMICHEZO ambaye anacheza kwa kutumia pikipiki Bian Capper kutoka nchini Afrika kusini ametoa wito kwa watanzania kucheza mchezo huo ambao mbali ya kufurahisha pia unatumia akili na kukufanya uwe mkakamavu wakati wote.Akizungumza jana kabla kuonesha umahiri huo mchezaji wa pikipiki ambaye ni raia wa Afrika Kusini anayefanya ziara katika nchi za Afrika kwa udhamini wa kinywaji cha Redbull atakuwa nchini kwa ziara za ya maonesho ya kuonesha namna ya kucheza na pikipiki kwa siku tatu.

 

10 years ago

Mwananchi

MTAZAMO: Tumewazuia watoto kucheza soka mitaani!

Tanzania kama jamii, tulikuwa tukishiriki katika michezo ya kikabila kabla ya kuja ukoloni.

 

11 years ago

Bongo5

Didier Drogba astaafu kucheza soka la kimataifa

Mshambuliaji wa Chelsea, Didier Drogba leo (Agosti 8) ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa na timu yake ya Ivory Coast, lakini ataendelea kuichezea timu yake ya Chelsea. Drogba mwenye miaka 36, aliichezea timu yake ya taifa michezo 104 na kufanikiwa kufunga magoli 60. “Kwa masikitiko makubwa nimechukua uamuzi kwa kustaafu soka la kimataifa” Drogba aliandika […]

 

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

Bongo5

TFF yamfungia Juma Nyoso kucheza soka kwa miaka miwili

Kamati ya uendeshaji ya ligi kuu Tanzania Bara iliyokutana September 29 kupitia ripoti mbalimbali za michezo iliyochezwa ya ligi kuu na ligi daraja la kwanza nchini, imemfungia nahodha wa Mbeya City, Juma Nyoso kucheza mpira wa miguu kwa kipindi cha miaka miwili. Pia imempiga faini ya shilingi milioni mbili kuafutia kitendo cha udhalilishaji alichomfanyia mchezaji […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Mfaransa Sean Garnier aja Tanzania kuonyesha umahiri wa kucheza mpira wa mtaani huku akibinuka sarakasi na kucheza dansi

Meneja Masoko wa Kampuni ya Mohan’s John Ntuli (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumtambulisha Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo. Pembeni ni Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya Mohan’s Vijay Joshi.

Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo akifafanua machache mbele ya waandishi wa habari mara baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani