Yanga kileleni kwa saa 24
Ndoto za Simba kuziondoa Yanga na Mtibwa kwenye nafasi ya pili na tatu ya msimamo wa ligi kwa mara ya kwanza msimu huu zitaendelea kusubiri kwa wiki kadhaa baada ya timu hizo kushinda jana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Jun
Saa 48 za hatari kwa kiungo Yanga SC
11 years ago
GPL
Yanga yakaa kikao na Kaseja kwa saa tatu
10 years ago
Habarileo14 Sep
Yanga yaanzia kileleni
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga jana walianza vyema kampeni ya kutetea ubingwa wao wa Ligi Kuu baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Coastal Union ya Tanga katika mchezo mkali uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
Mtanzania05 Feb
Yanga yajivinjari kileleni
NA SALMA JUMA, TANGA
USHINDI wa bao 1-0 dhidi ya Wagosi wa Kaya wa Tanga, timu ya Coastal Union jana umeifanya Yanga kujivinjari kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara, ikiwa na pointi 22 katika msimamo wa ligi hiyo.
Yanga imejikusanyia pointi hizo baada ya kucheza michezo 12, huku ikibakiza mechi yake ya kiporo dhidi ya Mbeya City, ikifuatiwa na Azam yenye pointi 21 huku ikiwa imecheza michezo 11, Mtibwa inashika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 18.
Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa...
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Yanga yakwea kileleni
NA OSCAR ASSENGA, TANGA
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wamekwea kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo, baada ya kuifunga bao 1-0 timu ya African Sports katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
Bao hilo lilifungwa katika dakika 90 ya mchezo huo kupitia kwa Thabani Kamusoko, baada ya kupokea pasi ya Donald Ngoma hivyo kuifanya Yanga kushika usukani wa ligi hiyo kwa kufikisha pointi 27 huku Azam FC wakishika nafasi ya pili kwa kuwa na pointi 26.
Yanga walianza mchezo huo kwa kasi ambapo...
9 years ago
Habarileo17 Dec
Yanga yapaa kileleni
YANGA jana iliishusha Azam na kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu baada ya kushinda bao 1-0 dhidi ya African Sports. Ushindi huo unaifanya Yanga ambayo ndio bingwa mtetezi wa ligi hiyo kufikisha pointi 27 na kuishusha Azam yenye pointi 26, lakini ikiwa na mchezo mmoja nyuma.