Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga wamsikilizia Mgongolwa uchaguzi

UONGOZI wa Yanga, umesema suala la Uchaguzi Mkuu wa Yanga lipo mikononi mwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo, Alex Mgongolwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

11 years ago

Mwananchi

Uchaguzi Yanga wanukia Agosti

Uchaguzi wa Yanga huenda ukafanyika Agosti badalao ya Juni 15, kutokana na Kamati ya Uuchaguzi ya klabu hiyo kulazimika kufuata mwongozo wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). 

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yashikilia uchaguzi Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeshikilia hatima ya uchaguzi wa Yanga ambao awali ulipangwa kufanyika Juni 15 mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Uchaguzi wazitesa Simba, Yanga

>Kuondoka kwa wachezaji Didier Kavumbagu na Frank Domayo katika klabu ya Yanga kunahusishwa kwa kiasi kikubwa na vuguvugu la uchaguzi wa klabu hiyo kongwe nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchaguzi watesa viongozi Yanga

BAADHI ya viongozi wa klabu ya Yanga wameanza kuingiwa na hofu ya kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu ujao kwa kushindwa kutimiza ahadi kadhaa, hasa ya kulipa kisasi cha mabao...

 

11 years ago

GPL

UCHAGUZI MKUU YANGA JUNI 15, 2014

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kikao cha Kamati ya Utendaji kilichoketi tarehe 10 Aprili 2014 Makao Makuu ya klabu kiliazimia kuwa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa YANGA SC utafanyika tarehe 15 Juni 2014. Taarifa za taratibu za Uchaguzi zitatangazwa hapo baadae na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Mh Alex Mgogolwa.  Imetolewa: Young Africans SC 14 Aprili,2014. ...

 

11 years ago

Mwananchi

Manji avunja Kamati ya Uchaguzi ya Yanga

Uongozi wa Yanga umevunja kamati ya uchaguzi na kutangaza kamati mpya, ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa klabu hiyo utakaofanyika baadaye mwaka huu.

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani