Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi watesa viongozi Yanga

BAADHI ya viongozi wa klabu ya Yanga wameanza kuingiwa na hofu ya kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu ujao kwa kushindwa kutimiza ahadi kadhaa, hasa ya kulipa kisasi cha mabao...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

VIONGOZI YANGA WAANZA KUJIUZULU


Wajumbe wa Kamati ya Utendaji wa Klabu ya Yanga Shija Richard, Salum Rupia na Rogers Gumbo wamejiuzulu nafasi zao leo   ndani ya klabu hiyo.

Hatua hiyo imekuja siku kadhaa baada ya Moja ya wadhamini wa Klabu hiyo kujiondoa kwa madai ya kupangiwa baadhi ya vitu na wajumbe wanne wa kamati ya utendaji.

Sakata hilo liliwafanya wanachama na viongozi wa matawi kumtaka Mwenyekiti wa Klabu hiyo Dkt Mshindo Msolla kuwachukulia hatua kali wajumbe hao.

Katika taarifa wamesema, "Nimeamua kwa hiari yangu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kuelekea Uchaguzi:Davina Awatahadharisha Viongozi na Wananchi!!

Mwigizaji mkongwe Halima Yahya ‘Davina’, amewatahadharisha viongozi mbalimbali wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchanguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani 2015 kuwa makini ili wasisababishe vurugu au uvunjaji wa amani.

Davina alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalumu na paparazi wa GPL ambapo alisema mwaka huu unakuja kukiwa na changamoto nyingi kutokana na matukio mbalimbali yanayoendelea kutokea hivyo viongozi na Watanzania kwa ujumla wanatakiwa kuwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kuelezea Uchaguzi:Davina Awatahadharisha Viongozi na Wananchi!!

Mwigizaji mkongwe Halima Yahya ‘Davina’, amewatahadharisha viongozi mbalimbali wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchanguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani 2015 kuwa makini ili wasisababishe vurugu au uvunjaji wa amani.

Davina alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalumu na paparazi wa GPL ambapo alisema mwaka huu unakuja kukiwa na changamoto nyingi kutokana na matukio mbalimbali yanayoendelea kutokea hivyo viongozi na Watanzania kwa ujumla wanatakiwa kuwa...

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK.


Tunapenda kuwataarifu kuwa tarehe 10 September Viongozi wa jumuiyatulifanya kikao na walezi wetu(Mabalozi)hapo ubalozini kujadili namnabora ya kuhitimisha muda wetu wa Uongozi.Kikao hicho kiliazimia mamboyafuatayo :A)Kuitisha mkutano Mkuu wa jumuiya hapo tarehe 5 Disemba 2015 ambaopamoja na mambo mengine utachagua Bodi ya Wadhamini wa jumuiya ambayoitasimamia uchaguzi ujao wa Viongozi.B) Kwa mara nyingine tena kikao hiki kilimridhia Mchungaji Mama Butikuaombewe Rasmi kuongozwa Kamati ya...

 

9 years ago

Michuzi

Mkutano wa Tume ya Taifa Ya Uchaguzi na Viongozi wa Dini

Tume ya Taifa ya uchaguzi Makao makuu, hapo kesho inatarajiwa kupokea fomu za uteuzi za vyama 13 kwa ajili ya uteuzi wa nafasi ya kugombea urais kwa ajili ya uchaguzi mkuu ambao utafanyika hapa nchini mwezi oktoba mwaka huu.  Akizungumza katika mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na wawakilishi kutoka katika madhehebu ya dini hapa nchini katika hoteli ya New Africa jijini Dar es salaam leo, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damiani alisema uchaguzi mkuu wa Mwaka huu...

 

9 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dini wazungumzia amani Uchaguzi Mkuu

Viongozi wa dini wamewataka wadau wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika wakiwamo wanasiasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na wananchi kufuata sheria, taratibu na kanuni zilizowekwa ili uwe wa amani.

 

9 years ago

Mtanzania

‘Ojuelegba’ wa Wizkid watesa Ulaya

Wizkid-NA BADI MCHOMOLO

WIMBO wa msanii kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’ wa ‘Ojuelegba’, umeonekana kuzidi kufanya vizuri nchini Marekani kutokana na mastaa mbalimbali barani Ulaya kuweka wazi kuupenda wimbo huo.

Wasanii walioonyesha kuvutiwa na wimbo huo ni Drake, Alicia Keys, mpenzi wake Swizz Beatz pamoja na mpenzi wa msanii wa hip hop nchini humo, Tygar, Kylie Jenner ambaye ameweka video ya wimbo huo kwenye akaunti yake ya Instagram.

 

10 years ago

Habarileo

Ukeketaji bado watesa Tarime

WATOTO wa kike wilayani Tarime mkoani Mara, bado wameendelea kuandamwa na matukio ya ukatili dhidi yao, licha ya kampeni za mara kwa mara za kupiga vita ukatili na matukio mengine yanayofanywa kutokana na imani katika mila potofu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani