Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGONGOLWA APEWA UENYEKITI KAMATI YA UCHAGUZI YANGA

CHANZO NI BINZUBEIRY.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Yanga wamsikilizia Mgongolwa uchaguzi

UONGOZI wa Yanga, umesema suala la Uchaguzi Mkuu wa Yanga lipo mikononi mwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo, Alex Mgongolwa.

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAPANGUA AGIZO LA KAMATI YA UCHAGUZI TFF KUSIMAMISHA UCHAGUZI WA TEFA

Kamati ya uchaguzi ya chama cha soka mkoa wa Dar e salaam DRFA,imeshindwa kutekeleza agizo la lililotolewa na mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF la kusimamisha mchakato wa uchaguzi wa chama cha soka wilaya ya temeke TEFA uliopangwa kufanyika jumapili agosti 23/2015.
Baada ya kupitia kwa umakini kanuni za uchaguzi za TFF za mwaka 2013 ibara ya 6, na kujiridhisha kuwa hakuna kipengele chochote kinachoruhusu kamati ya uchaguzi ya TFF kuingilia kati...

 

11 years ago

Mwananchi

Manji avunja Kamati ya Uchaguzi ya Yanga

Uongozi wa Yanga umevunja kamati ya uchaguzi na kutangaza kamati mpya, ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa klabu hiyo utakaofanyika baadaye mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Ndassa amrithi Mwambalaswa uenyekiti wa kamati

>Kamati tatu za Bunge ambazo wenyeviti wake walitakiwa kuwajibika  kutokana na kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow, zimeanza kuchagua wenyeviti wapya huku ile na Nishati na Madini ikimchagua Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa kuwa mwenyekiti wake.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKABIDHIWA UENYEKITI WA KAMATI YA MABALOZI WA AFRIKA, KARIBIANI NA PACIFIC (ACP)

  Balozi wa Tanzania  Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya  ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Samoa Ubelgiji na Jumuiya ya Ulaya Mhe. Balozi Dr. Luteru  aliyemaliza kipindi chake cha uenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa ACP. Balozi Luteru amemkabidhi Balozi Kamala uenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa ACP leo, Brussels.

 

11 years ago

Mwananchi

Manji kutogombea uenyekiti Yanga

Wakati Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji akitangaza kutokugombea tena nafasi hiyo, Katibu Mkuu wa Yanga, Laurance Mwalusako amefungashiwa virago ndani ya klabu hiyo na nafasi yake sasa kuchukuliwa na Benno Njovu.

 

10 years ago

Mwananchi

Emerson apewa mkataba Yanga

Klabu ya Yanga imempa mkataba wa mwaka mmoja kiungo mkabaji, raia wa Brazil, Emerson de Oliveira Neves Roque baada ya kufuzu majaribio.

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAELEKEZA UCHAGUZI WA TEFA KUFANYIKA AGOSTI 23 MWAKA HUU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI         KAMATI ya uchaguzi DRFA inaelekeza kamati ya uchaguzi ya TEFA kufanya uchaguzi wa viongozi,jumapili tarehe 23/08/2015 katika ukumbi wa JKT kama ilivyopangwa kufanyika hapo awali.Kamati pia inapenda  kuutarifu umma kuwa mchakato huu una Baraka zote kutoka TFF,hivyo uingiliaji wowote unakwenda kinyume na ibara ya 6(1)ya kanuni za uchaguzi za TFF 2013 na ibara za 52(6) na 56(6)(a) za katiba ya TFF ambazo zinaelekeza kuwa majukumu ya uchaguzi yapo chini ya...

 

9 years ago

Global Publishers

Twite apewa cheo kipya Yanga

MBUYUTWITEKiungo wa Yanga Mbuyu Twite.

Hans Mloli,Dar es Salaam
UONGOZI wa benchi la ufundi la Yanga umempa cheo cha unahodha, kiungo wa timu hiyo Mbuyu Twite baada ya Haruna Niyonzima kutemwa klabuni hapo.

Awali kabla ya Niyonzima ambaye pia ni nahodha wa timu ya taifa ya Rwanda kupewa wadhifa huo cheo hicho kilikuwa mikononi mwa Twite, hivyo hii ni mara ya pili kwa kiraka huyo kuchukua nafasi hiyo.

Twite anatazamiwa kutumia nafasi hiyo kuiongoza Yanga kwenye michezo yote ya Kombe la Mapinduzi na ile...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani