Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yamtosa shushushu

Yanga wameonyesha uzalendo kwa kumnyima taarifa muhimu kuhusu Azam FC kocha wa El Merreikh, Sudan aliyetua Zanzibar kwa lengo la kuwachunguza mabingwa hao wa Bara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Yanga yamtosa Mkenya

Uongozi wa Yanga umesema kuwa umeamua kuachana na Mkenya Patrick Naggi baada ya kutokuridhishwa na utendaji wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yamtosa Chuji CAF

Balaa limeendelea kumwandama kiungo Athumani Idd ‘Chuji’ baada ya kutoswa kwenye kikosi cha Yanga kitakachoshiriki Ligi ya Mabingwa msimu huu.

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yamtosa Wambura

Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF), chini ya Makamu Mwenyekiti, Wakili Mwita Waisaka imemuengua kwa mara nyingine kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi wa Simba, mgombea Michael Wambura baada ya kutupilia mbali rufaa yake jana.

 

10 years ago

GPL

Simba yamtosa Tambwe, kisa...

Mshambuliaji wa kutumainiwa wa Simba, Mrundi, Amissi Tambwe. Sweetbert Lukonge na Khadija Mngwai
HATIMAYE maisha ya mshambuliaji wa kutumainiwa wa Simba, Mrundi, Amissi Tambwe ambaye msimu uliopita alikuwa injini ya timu hiyo katika kuzifumania nyavu, sasa yamegeuka shubiri ndani ya kikosi hicho, hiyo ni baada ya kutua kwa Mganda, Emmanuel Okwi na Mkenya, Paul Kiongera klabuni hapo. Tambwe alisajiliwa na Simba msimu uliopita...

 

9 years ago

Mwananchi

Simba yamtosa Mavugo, yashusha kifaa cha Italia

Klabu ya Simba imeachana na usajili wa mshambuliaji Laudit Mavugo kutoka Burundi ikitarajiwa kushusha mchezaji kutoka Italia kwa ajili ya kuimarisha safu yake ya ushambuliaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani