Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yapewa msaada na TFF ili iweze kurudi nyumbani

Wachezaji wa klabu ya Yanga sasa wanatarajia kuingia Dar es Salaam leo kutoka nchini Algeria.

Wameondoka na ndege ya Emirates badala ya Turkish Airways na imeelezwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limelazimika kutoa mkopo kwa klabu hiyo ili kuwakomboa.

Wachezaji saba na katibu mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa walichelewa ndege jijini Algeria na kulazimika kusubiri hadi Jumanne ndiyo waondoke na kutua nchini siku ya jumatano.

Wachezaji walioachwa ni Kelvin Yondani, Deogratius...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Kikwete amezitaka nchi za Afrika kuipa nguvu Mahakama ya Afrika ili iweze kusikiliza kesi za jinai

531-1024x634

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wafanyakazi na viongozi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu mjini Arusha.

177

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani wakizindua kitabu cha taarifa za msingi kuhusu mahakama hiyo kwenye Ukumbi wa Kibo kwenye majengo ya Mahakama hiyo mjini Arusha.Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuagana na viongozi na wafanyakazi wa mahakama hiyo.

257

Na Mahmoud Ahmad, Arusha

Rais Jakaya Kikwete...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TFF ya Malinzi yapewa ushauri

WAKATI uongozi mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Rais Jamal Malinzi ukitimiza siku 100 hapo Februari 7 tangu ulipoingia madarakani Oktoba 27, mwaka jana, Mbwana Msumari, ambaye...

 

9 years ago

BBCSwahili

Camara azuiwaa kurudi nyumbani-Guinea

Aliyekuwa kiongozi wa kijeshi nchini Guinea Moussa Dadis Camara ameiambia BBC kuwa utawala wa nchi hiyo unamzuia kurejea nyumbani.

 

5 years ago

CCM Blog

TANZANIA YAPEWA NA MADAGASCAR MSAADA WA DAWA YA CORONA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar Tehindrazanarivelo Djacoba As Oliva wakinywa dawa ya kukinga na kutibu ugonjwa wa Corona wakati akipokea msaada wa dawa hiyo ulitolewa na Madagascar kwa Tanzania, jana.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akipokea kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar Tehindrazanarivelo Djacoba As Oliva msaada wa dawa ya...

 

10 years ago

Vijimambo

NESI WA EBOLA APONA NA AKUTANA NA KUMPA HAGI RAIS OBAMA KABLA YA KURUDI NYUMBANI

Mmoja wa manesi waliopata Ebola wakati akimuuguza mgonjwa wa Ebola Thomas Eric Duncan aliyepata wakati akitokea Liberia. Nesi Nina Pham leo Ijumaa Oct 24, 2014 ameruhusiwa kutoka hospitali NIH alipokua amelazwa baada ya kupona virusi vya Ebola. Nesi Nina baadae yeye na familia yake walipitia Ikulu kukutana na Rais Barack Obama kabla ya kuondoka na kuelekea Texas kwenda kuungana na ndugu, jamaa na marafiki.

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI AMINA SALUM ALI AANZA KUAGWA WASHINGTON, DC KWA SAFARI YA KURUDI NYUMBANI TANZANIA

Balozi Amina Salum Ali katika harakati za kurudi nyumbani ameanza kuonana na viongozi wa serikali ya marekani.hapa amefuatana na ofisi wa u balozi wa Afrika akiwa na Balozi Linda Greenfield Msaidizi wa seketari anayeshughulikia Afrika leo asubuhi ofisi ya mambo ya nje Washington dc

 

10 years ago

Dewji Blog

Halmashauri ya Manispaa Singida yapewa msaada wa zaidi ya Mil 250 kwa ajili ya malori ya taka ngumu

DSC06161Kijiko mali ya manispaa ya Singida kilichonunuliwa kwa shilingi 110 milioni,kikipakia taka ngumu kutoka kwenye dampo la soko la vitunguu mjini hapa jana.Picha na Nathaniel Limu

Na Nathaniel Limu

Serikali kuu imeipatia msaada  halmashauri ya manispaa ya Singida, kijiko na malori mawili makubwa vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi 250 milioni,kwa ajili ya uzoaji wa taka ngumu.

Hayo yamesemwa juzi  na mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Joseph Mchina, wakati akizingumza na waandishi wa...

 

5 years ago

Michuzi

SIMBA YAPEWA AZAM, YANGA DHIDI YA KAGERA KOMNE LA ASFC

Na Zainab Nyamka, Globu ya jamiiDROO ya upangaji wa mechi za robo faini ha Kombe la Azam Sports Federation Cup imefanyika kwa vigogo viwili vya soka kukutana katika hatua hiyo.
Upangaji huo umerushwa moja kwa moja na kituo cha Azam na kusimamiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF).
Katika mchezo wa kwanza, Simba Watakutana na Azam ikiaminiwa ni kuwa mchezo wenye ushindani mkubwa sana kutokana na historia ya mchezo wa ligi uliopita.
Mchezo wa pili utakuwa ni Yanga wakiwakaribisha Kagera...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani