Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YAPIGA MKONO

Wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia moja ya mabao yao katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya JKT Ruvu uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana. Na Martha Mboma
VITA ni vita, Yanga imeonyesha haiwezi kukubali ubingwa utue Azam FC kirahisi badala yake ama iupate kwa mbinde au Jangwani watetee ubingwa wao msimu huu, hiyo ni baada ya kutoa kipigo kikali cha mabao 5-1 kwa JKT Ruvu katika mechi ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Azam yapiga ‘mkono’ Kagame

Kipre Tchetche aliibuka shujaa kwa kuifungia Azam mabao mawili katika ushindi mnono wa mabao 5-0 ilioupata dhidi ya Adama City ya Ethiopia na kuiwezesha kumaliza vizuri hatua ya makundi ya mashindano ya Kagame

 

9 years ago

Habarileo

Yanga yapiga ramli msaidizi wa Mkwasa

UONGOZI wa Yanga bado unaendelea kufanya utafiti wa kumtafuta mbadala wa Charles Mkwasa kwa ajili ya kusaidiana na Kocha Mkuu Hans Pluijm (pichani) kukinoa kikosi hicho.

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga yampa mkono wa kwaheri Maximo

Marcio Maximo

Kocha mpya wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Marcio Maximo

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Yusufu Manji, amempa mkono wa kwaheri aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Marcio Maximo na msaidizi wake, Leonard Neiva na kumkabidhi rasmi madaraka kocha Hans van Pluijm na msaidizi wake, Boniface Mkwasa kukifundisha kikosi hicho.
Licha ya kuwaaga makocha hao, Manji hakuweka wazi sababu zilizowafanya kuwaondoa makocha hao zaidi aliwatakia kila la kheri huko waendako na kuwashukuru kwa ushirikiana...

 

10 years ago

Mwananchi

Winga Ngassa apewa mkono wa heri Yanga

Baada ya mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngassa kugoma kumwaga wino wa kuichezea klabu hiyo msimu ujao, uongozi wa klabu hiyo umepa mkono wa kwaheri.

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Pluijm aunga mkono Niyonzima kutimuliwa Yanga

SIKU moja baada ya Yanga kusitisha mkataba wake na Haruna Niyonzima, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Hans van der Pluijm ameibuka na kusema alikwishamuondoa kiungo huyo kwenye mipango yake.

 

9 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba, Azam zatia mkono fainali Kombe la Chalenji

Rwanda na Uganda zitakutana Jumamosi katika fainali ambayo itawakutanisha kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima na kiungo wa Azam, Jean Baptiste Mugiraneza na beki wa Simba, Juuko Murshid na hivyo kuwa kivutio kwa mashabiki wa klabu hizo kubwa nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE

Kocha simba akimpa mkono kocha wa YangaHans ameshindwa kupeana mkono wa pongezi na kocha mwenzake kutokana na kikosi chake kukubali kupokea kichapo kutoka kwa wekundu wa msimbazi lakini katika hali ya kawaida mchezo ukimalizika makocha upeana mkono kama ishara ya kukubali matokeo (fair play) na kocha msaidizi wa yanga Boniface Mkwasa ametoa mkono huku akiwa ameangalia pembeni.Goran akimwambia basi samahani kwa kukufunga wewe nipe mkono tuBaada ya mchezo kocha aliwashukuru wachezaji wake kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani