Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YAZIDIWA NGUVU NA KMC YA KINONDONI, YACHAPWA 3-0, LEO


CCM Blog, Dar es SalaamKlabu ya Soka ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) imeibuka kidedea baada ya kuichapa Yanga 3-0 katika mechi ya kirafiki iliyorindima katika Uwanja wa Uhuru  jijini Dar es Salaam, leo.
Katika mpambano huo uliokuwa wa kupimana nguvu kujiandaa na mechi za ligi kuu, mabao ya KMC yamewekwa kimiani na Sadala Lipangile katika dakika ya 31 huku Charles Ilafya akifunga bao la pili katika Dakika ya 45, na hadi kuingia kipindi cha pili timu hiyo ilikuwa inaongoza kwa bao 2-0.

Goli la...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Liberia yazidiwa nguvu na ebola

Waziri mmoja wa Liberia akiri kuwa ebola imetapakaa zaidi kushinda walivyokisia, lakini wanajikaza kupambana nayo

 

5 years ago

Michuzi

YANGA YANYUKWA 3-0 NA KMC UWANJA WA UHURU JIJINI DAR

Na Zainab Nyamka

WAMEKAA!!! Mchezo wa Kirafiki kati ya Yanga na KMC imemalizika kwa Yanga kukubali kipigo cha goli 3-0.

Mchezo huo umechezwa leo katika Uwanja wa Uhuru ikiwa ni mchezo wao wa pili wa kirafiki baada ya kupata ushindi wa 3-1 dhidi ya Transit Camp.

Mpira ulianza kwa kasi KMC wakitawala mchezo kwa dakika za mwanzo kabla ya Yanga kubadilisha mchezo na kuonekana kuutawala.

KMC walichukua dakika 31 kuweza kuandika goli la kwanza kupitia kwa Sadala Lipangile akipokea pasi ya Charlse...

 

10 years ago

Michuzi

WWF YATOA MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA IDARA ZA HALMASHAURI YA MANSIPAA YA KINONDONI KMC JUU YA KUKABILIANA NA UENEAJI WA HEWA UKAA NA NISHATI JADIDIFU NCHINI

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni,Injinia. Mussa Natty (kulia), akifungua semina kwa wafanyakazi wa Halmashauri hiyo Jijini Dar es Salaam kuhusiana na ueneaji wa hewa ukaa na matumizi sahihi ya nishati jadidifu nchini (kushoto), Mratibu wa Shirika Lisilokuwa la Kiserikali WWF.Bw, Asukile Kajuni. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni,Injinia. Mussa Natty akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Halmashauri hiyo mara baada ya kufungua semina. HABARI...

 

11 years ago

GPL

YANGA WATOSHANA NGUVU NA AZAM UWANJA WA TAIFA LEO

Patashika langoni mwa Yanga SC. ...Wanaume kazini. Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lao kwa kucheza…

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA NA AZAM NI SHIIIIIIIIIDA WATOSHANA NGUVU 2 KWA 2 TAIFA LEO

Hamis Tambwe aanza Yanga kwa bao moja leo taifa hapa Tambwe akiisawazishia timu ya Yanga bao katika dk ya 7 baana ya Kavumbaga kuwafunga Yanga bao katika dk ya 5 ya kipindi cha kwanza.Msuva na Tamwe ndiyo walikuwa mashujaa watimu ya Yanga taifa hapa wakichangilia kwa pamoja .Hapa wachezaji wa Azam wakishangilia baada ya kusawazisha bao la pili baada ya kuwa njuma kwa bao 2 kwa moja, Mchezo wa leo ulikuwa muhimu kwa timu zote lakini Azam ndiyo walikamia zaidi kutaka kulipiza kisasi cha...

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA NA YANGA ZATOSHANA NGUVU UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

Mshambuliaji wa timu ya Yanga , Hamis Kiiza (kulia) akiwania mpira na beki wa timu ya Simba, Nassor Masoud, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1 Simba. Mshamuliaji wa pembeni wa timu ya Yanga,Simon Msumva (kulia) akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Simba, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1...

 

10 years ago

Vijimambo

KMKM YA ZANZIBAR YACHAPWA BAO 1-0 KUTOKA KWA YANGA

 Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman akichuana na beki wa KMKM ya Zanzibar, Musa Said katika mchezo wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Yanga imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande) Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman akichuana na beki wa KMKM ya Zanzibar, Musa Said. Mshambuliaji wa Yanga, Geofrey Mwashiuya akjimtoka beki wa KMKM, Kassim Abdulkadir.
 Mshambuliaji wa Yanga, Geofrey Mwashiuya akimtoka beki wa KMKM, Kassim Abdukadir. Beki wa Yanga, Salum Telela...

 

9 years ago

Vijimambo

SIMBA YAFUNGWA KWA MBIINDE NA YANGA DMV YAKUBALI YACHAPWA 5-2

Watanzania na marafiki zao wakijumuika kwenye nyama choma kabla ya mechi ya Simba na Yanga iliyochezewa Hyattsville, MD siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 na Simba kukubali kipigo cha boa 5-2 na kuendelea kuwa wateja Yanga DMV. Timu hizi uundwa na mashabiki wa Simba na Yanga wanaoishi DMV.Nyama choma ikiendeleaTimu ya Simba DMVTimu ya Yanga DMV

 

11 years ago

Mwananchi

Simba, Yanga zatoshana nguvu

Timu za soka za Simba na Yanga zimelazimika kugawana pointi katika mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya kwenda sare ya bao 1-1.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani