Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yusufu Makamba Amla Nyama Kingunge; “Ukitaka Kumtukana Baba Yako Mshukuru Kwanza”

Katika mkutano mkuu wa uzinduzi wa kampeni za mgombea ubunge wa Tabora mjini ndg Emmanuel Mwakasaka, Katibu mkuu mstaafu wa CCM Taifa mzee Yusufu Makambakama mgeni rasmi azungumzia mengi ikiwa kumnadi Mgombea Urais, mgombea Ubunge na madiwani wote wa CCM, pia azungumzia suala la Kingunge na Lowassa katika mkutano uliofanyika kituo cha zamani cha mabasi mkoani Tabora.Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (27)
Yusufu Makamba, mkongwe wa siasa nchini akiongea na wananchi wa Tabora mjini.Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (28)
Mwakasaka_ccm_tabora-2015 (29)Yusufu Makamba akizungumzia upotofu mkubwa dhidi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Makamba ampasha Kingunge

KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Yusuph Makamba amemshangaa Kingunge Ngombale-Mwiru kutamka kwamba chama hicho hakijafanya chochote wakati ndiye aliyeshiriki kuandika vitabu kadhaa vya mipango ya chama hicho.

 

9 years ago

Habarileo

Mtoto wa Kingunge amgeuka baba yake

MTOTO wa mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombale Mwiru, Kunje amempinga baba yake na kusema kwamba hawezi kuleta mabadiliko yoyote kwa kushirikiana na Ukawa kama ambavyo wamekuwa wakijinadi.

 

9 years ago

StarTV

Mtoto wa Kingunge alimshauri baba yake apumzike siasa

Aliyekuwa Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ambaye amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kingunge Ngombali Mwiru ameshauriwa na mwanaye Kinje kupumzika kwenye masuala ya siasa za majukwaa ili kuendelea kujitunzia heshima kama miaka ya nyuma.

Kinje amebainisha kuwa nchi hii inamuhitaji baba yake katika mambo ya msingi hususani kutunza na kuendeleza amani ambayo inapaswa kuenziwa kwa sasa tofauti na anavyofanya kada huyo aliyedai kujihusisha na siasa ambazo ameziita za...

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI KINGUNGE NGOMBALE MWIRU, NINGEJITATHMINI KWANZA

Kingunge Ngombale Mwilu. Heshima yako mzee! Najua una mambo mengi ya kufanya, ukichanganya na umri wako, itakuwa vigumu sana kwa mtu kama mimi kuonana ana kwa ana na wewe. Hiyo ndiyo sababu iliyonifanya niamue kutumia ukurasa huu kufikisha ujumbe wangu kwako. Mheshimiwa, mimi si mwanasiasa mkongwe kama wewe ambaye umeitumikia nchi hii tangu enzi za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mpaka leo hii. Sijawahi kushika nyadhifa...

 

10 years ago

Michuzi

The Nyama Choma Festival Dar 6 Desemba -Jipatie Tiketi Yako Sasa Kwa sh 7000 tu.

Tembelea Vituo Vya Mauzo Ujipatie Tiketi Yako Sasa.1.Samaki Samaki-Mlimani City na Posta2.Tripple 7  - Kawe3.Didis - Oysterbay4.Born 2 Shine - Mwenge

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini umuombee baba yako afe ili urithi nyumba?

Katika moja ya makala zangu za siku za nyuma kupitia kona hii hii, niliwahi kudokeza machache juu ya wanafamilia fulani ambao waliamua kurushiana masumbwi wakigombea mali za kurithi kutoka kwa...

 

5 years ago

Michuzi

Tiketi yako ya kwanza daima ni ushindi ukiwa na Meridianbet!

Meridianbet wameanzisha Promosheni ya TIKETI YA KWANZA JUU YETU ambayo tiketi yako ya kwanza daima haiwezi kupoteza, kwa sababu kama haijashinda –Watakurudishia hadi Tsh 12,500 ya pesa uliyolipia tiketi yako katika akaunti ya bonasi ya kubetia. 
Kwa kweli, timu ya Meridianbet imefanya ofa hii kuwa rahisi sana ili daima isiwe vigumu sana kupata USHINDI wako wa kwanza.
Ofa hii haina hasara kabisa, ni kwa wateja wote wapya WANAOJISAJILI na kufungua akaunti ya kubashiri na Meridianbet.co.tz. Ili...

 

10 years ago

Michuzi

Tamasha La kwanza la The Nyama Choma Festival kwa mwaka 2015 Kufanyika Leaders Club Jumamosi Tarehe 7 February.

TNCF imesogeza mbele ratiba yake kutoka March hadi February kuheshimu kipindi cha Kwa Resma Kwa Jumuiya ya  Wakristo.Tamasha hili kwa Dar es Salaam litafanyika mara 3 tu kwa mwaka kuanzia mwaka huu na sio Mara 4 kama ilivyozoeleka ili kulipa nafasi kufanyika mikoa na nchi nyingine za Afrika Mashariki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani