Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zahanati kugharimu mil. 150/-

MANISPAA ya Kinondoni imetenga sh milioni 150 kwa ajili ya ujenzi wa zahanati katika Mtaa wa Saranga uliopo katika Jimbo la Ubungo. Taarifa hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Ujenzi wa Zahanati kugharimu 384 Milioni Singida

MANISPAA

Mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Joseph Mchina akitoa taarifa ya ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mtisi kata ya Mtamaa,inayokadiriwa kukamilika katika mwaka wa fedha wa 2014/2015. (Picha na Maktaba).

Na Nathaniel Limu, Singida

Halmashauri  ya Manispaa ya Singida, inatarajia kutumia zaidi ya shilingi 384.4 milioni, kugharamia ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mtisi kata ya Mtamaa,inayokadiriwa kukamilika katika mwaka wa fedha wa 2014/2015.

Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Joseph Mchina, alisema...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utetezi haki za wazee kugharimu mil. 828/-

SHIRIKA la Kimataifa la Help Age Tanzania kwa kushirikiana na Help Age Germany na Wizara ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Ujerumani (BMZ), wanatarajia kutumia zaidi ya sh milioni 828.7 kufanikisha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yaipa ALAT mil. 150/-

BENKI ya NMB imetoa sh milioni 150 kwa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) kwa ajili ya kufanikisha  mkutano mkuu wa 30 wa jumuiya hiyo. Akizungumza na waandishi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Mnyika atoa mil. 10/- zijenge zahanati

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika ametoa Sh milioni 10 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Zahanati ya Malamba Mawili iliyopo Kata ya Msigani katika Manispaa Kinondoni.

 

9 years ago

Vijimambo

SERIKALI YA CCM KUTOA MIL 150 KILA KATA DAR KWA WAJASILIAMALI

Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam. Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam. SERIKALI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imepanga kutoa shilingi milioni 150 kwa kila Kata ya Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali kimikopo ili kukuza biashara zao. Kauli hiyo imetolewa na Mgombea mwenza wa CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja...

 

11 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 25 ZA KUCHIMBA KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MAKUBURI, DAR

 Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kinondoni,Joseph Nicholous 9kushoto) akimkabidhi Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni,  ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Dk. Gunini Kamba mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 25 ikiwa ni msaada uliotolewa na TBL kwa ajili ya ujenzi wa kisima cha maji katika Zahanati ya Makuburi, Dar es Salaam. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika zahanati hiyo. Kulia ni Mganga Mfawidhi wa zahanati hiyo, Stella Kivugo na...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL 45 ZA UCHIMBAJI KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MJI MWEMA KIGAMBONI


 Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Dorice Malulu (kulia), akikabidhi mfano wa Hundi ya Sh. Milioni 45, kwa Mganga Mkuu wa Zahanati ya Mji Mwema, Kigamboni, Bw. Richard Mwita, zilizotolewa na TBL kwa ajili ya ujenzi wa kisima cha maji. Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Omari Kombe (kushoto), Bi. Upendo Mwabulambo (wa pili kushoto) na Mwakilishi wa Mganga wa Manispaa ya Temeke, Bw. Shaidi Simba (wa pili kulia).
Mwakilishi Mkuu wa Mganga wa Manispaa ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Clippers kugharimu dola billion 2

Aliyekuwa Gwiji wa Microsoft,Steve Ballmer, kununua LA Clippers licha ya pingamizi za mmiliki Sterling

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mradi wa maabara kugharimu bil 2/-

MANISPAA ya Ilala imetenga shilingi bilioni 2.2 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa maabara ulioanza Agosti na kutarajiwa kumalizika Oktoba mwaka huu. Akizungumza na Tanzania Daima Ofisa Habari wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani